aaaaaaaaaarrrghhh...hili tangazo la startimes linaboa bana!!

kwa bongo Kanumba ni star lazima asemwe kwa mabaya na mazuri ,sioni tatizo la kanumba kwenye lile tangazo bali wahusika wa startimes wanatakiwa walibadilishe sababu muda umepita,sasa Kanumba shida yake nini? kuna watu wanaishi mjini hapa sababu ya sanaa ya Kanumba kama unabisha kawaulize wahindi pale Kariakoo...hivi KANUMBA ALIWAKOSEA NINI? success belongs to the one who understand that discouragement is the fillip to succeed
 
Ni nyie na chuki binafsi kwa Kanumba kuna tangazo linaudhi kama la MPESA MAN, yaani jamaa anakaning'iniza katoto arghhh hata haileti maana
 
kwa bongo Kanumba ni star lazima asemwe kwa mabaya na mazuri ,sioni tatizo la kanumba kwenye lile tangazo bali wahusika wa startimes wanatakiwa walibadilishe sababu muda umepita,sasa Kanumba shida yake nini? kuna watu wanaishi mjini hapa sababu ya sanaa ya Kanumba kama unabisha kawaulize wahindi pale Kariakoo...hivi KANUMBA ALIWAKOSEA NINI? success belongs to the one who understand that discouragement is the fillip to succeed

Nadhani tatizo siyo Kanumba, mimi binafsi sina shida na kanumba. Tatizo liko kwenye tangazo lenyewe. JAMANI.. LILE TANGAZO LINACHEFUA
 
kwa bongo Kanumba ni star lazima asemwe kwa mabaya na mazuri ,sioni tatizo la kanumba kwenye lile tangazo bali wahusika wa startimes wanatakiwa walibadilishe sababu muda umepita,sasa Kanumba shida yake nini? kuna watu wanaishi mjini hapa sababu ya sanaa ya Kanumba kama unabisha kawaulize wahindi pale Kariakoo...hivi KANUMBA ALIWAKOSEA NINI? success belongs to the one who understand that discouragement is the fillip to succeed
upupu mtupu...nikiendelea nitakutukana bureee...
 
hilo tangazo aliyelitengeneza ni kichwa box au ni kadli flani ka kugawana fee na kilaza kanumba,maana kwa msanii anayejitambua kamwe hatokubali kutumika
Na hata lile bango ambalo msanii huyo anaonekana kama anacheza kung fu halifanani na mchezaji wa karate ambaye ana body ya six pack na pozi aliyoweka haina uhalisia
Inaboa kwa kweli cjui hata hamna Editors?
 
Hata mimi ndo nafungua hii thread naona mmeniharibia siku mungu wangu. Sijui kwanini mmenikumbusha hili tangazo. Sijui kufuta thread lkn ningekuwa na uwezo ningefuta kabisa huu upuuzi.
 
Back
Top Bottom