Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 478
Inawekanaje hii?!
View attachment 58560
Unaweza amini huu ni mkono wa binadamu?
Au ulifikiria ni Pundamilia aina mpya tunayoletewa kama misaada?
View attachment 58591
Hapa kuna taswira za watu wangapi?
Na kikombe hapa kipo au hakipo?