A God can be a mere theory, nothing more

Aisee! Sasa mkuu ikiwa Mungu ana/mepanga kila kitu kwani unasema Atheist wameniweza? Na ikiwa amepanga kila kitu basi yeye si hakimu muadilifu kama anavyodai. kwanini wengine wapangiwe kuongoka na wengine kupotoka? kwanini wengine wapangiwe kwenda motoni na wengine peponi? Ivi ni kweli Allah (sw) anaupendeleo?

Mungu anaweza kuwepo lakini si anaeongelewa na wakiristo na waislam.

Kila mtu anamtazamo wake kuhusu kuwepo hapa duniani.

Mungu wa kweli yupo.
Ila kuna miungu ya kuzushwa!
Hata filauni alijiita mungu.je, ni mungu? Mungu hafi.
 
Wapo na si ndiyo hao wameamua kuacha kabisa na dini yenyewe.

Baina ya mambo/vitu viwili.
Usipokua juu lazima use chini.
Usipokua hai lazima uwe marehemu.
Usipokua mbele lazima uwe nyuma.
Usipokua kulia lazima uwe kushoto.
USIPOKUWA KWA MUNGU LAZIMA UWE KWA SHATANI.
 
MUNGU, DINI!! Dah, mkuu umegusa pabaya sana ... umegusa sehemu ambayo wengi wanaogopa hata tu kupaona but naamini kabisa kwa utashi, maendeleo na elimu tulizonazo, Dini na Mungu ni vitu vinavyoweza kuongeleka as ni vitu tulivyovikuta na kufundishwa mara tu baada ya kuingia hapa duniani na pengine tutaviacha. Mashaxizo binafsi naamini hoja na maswali yako yote ni ya msingi, na bandiko lako lina uwakilishi wa wengi, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu maswali yote uliyouliza na mengine mengi ni aina ya mkanganyiko wa kimawazo ambao umewahi kuwapitia wengi wetu. Pamoja na kwamba sijajiandaa vema kushiriki mtazamo kutoka kwenye ubongo wangu ni kama ifuatavyo;

1. UWEPO WA MUNGU KAMA MUNGU: Kwanza nitoe msimamo wangu, binafsi kama maana ya MUNGU ilivyo, naamini uwepo wa MUNGU kwa maana ifuatayo [only as (GOD - A spirit worshipped as having power over nature or human fortunes; a deity.)] yupo.

Source: God - Tafuta na Google

Na sababu za mimi kukubali na kuamini kuwa MUNGU huyu yupo ni zile zile ambazo Mashaxizo unaamini MUNGU yupo kama ifuatavyo;
  • Bahati : Uwepo wa bahati kwangu ni ishara tosha kabisa kuwa MUNGU yupo coz knows nothing, bahati haimjui yeyote wala chochote na ni kwa yeyote. Elimu, Nguvu, Umakini, Uzuri, Utajiri haukuhakikishii furaha na mafanikio mbeleni
  • Origin of life: Ukweli ni kwamba sayansi na wanasayansi wamefanikiwa kwa mengi sana lakini kushindwa kwa sayansi na elimu kuelezea origin of life kumeendea kuacha mwanya mkubwa kuwa MUNGU ninayemwamini mimi yupo.

2.UWEPO WA MUNGU ANAYETAJWA KWENYE DINI: Hapa ndipo tatizo langu la kuamini uwepo wake(Mungu wa Dini) na Biblia linapokuja; Kama maswali yako yote uliyouliza, nimeshindwa kuwa mtu wa kuitikia tu ninachoelezwa na wachungaji/Waliookoka na Biblia. Kubwa hapa imekua ni saikolojia na kujiamini na hili sihitaji kulitolea mifano coz hiyo ndiyo hali halisi. Kwa kuongezea pale ambapo Mashaxizo ulipoishia naomba niongeze yafuatayo:
  • DINI NA UTUMWA - Ushiriki wa hizi dini kwenye biashara ya utumwa na ukoloni, ni kitu cha kwanza ambacho kimekuwa kikinitia wasiwasi mkubwa, makanisa na misikiti yote ya awali ilijengwa na watumwa kwa ''mkono wa chuma'' bila ujira wala huruma then hapo hapo later wanatolea mafundisho kuhusu MUNGU ... pengine kuna mengi yamejificha.
  • TOFAUTI YA BIBLIA - Nasikia kuna aina tofauti ya biblia, kuna baadhi ya vitabu vya biblia vipo kwa madhehebu fulani na havipo kwa madhehebu mengine...Kwanini?
  • MSAMAHA - Hoja ya msamaha kama inavyozungumziwa na dini esp. Christian imekuwa na ujanjaujanja na utata mwingi hasa kuhusu kosa gani linasamehewa ama halisamehewi. Inaonekana kwamba makosa yote duniani yanasamehewa bila kujali ukubwa ama urefu wa kosa lenyewe ilimradi tu ... akiomba msamaha wa kweli kabla ya kufa. Hii binafsi, naona haijakaa sawa ...
  • HYBRID ANIMALS - Hapa napo pananipa maswali mengi, wametoka wapi hawa; LIGERS=LION+TIGERS, MULES=DONKEY+HORSE na aina nyingi za mbwa wa kizungu ...  je, nao wameumbwa na MUNGU ama SCIENCE?
  • UWEPO WA DINI NA MADHEHEBU - Uwepo wa dini nyingi zinazokinzana kwa kirefu sana ni swali gumu. Kwa mfano Hindus don't eat beef wakati wengine tunakula kila kitu, hii imekaaje?Nani yupo sawa?
  • SADAKA - Mfumo wa sadaka wa dini za sasa umekwenda na wakati kutoka vitu na sadaka binafsi mpaka fedha na nyumba za ibada, kwa hii enzi yetu anayetoa sadaka nyingi nyiye mtakatifu bila kujali hiyo sadaka imetoka wapi ... hapa pana tatizo kubwa na pananifanya nijiulize maswali yasiyo na majibu.
  • UADILIFU WA VIONGOZI WETU WA DINI/MASISTA - Uwepo wa waalamu wengi waliobobea wa huyo MUNGU wa dini ambao wenyewe ndio wala rushwa, wachoyo, wezi, wauwaji, waongo na wazinzi kunanipa pia maswali, je uwepo wa huyo MUNGU wanaye muubiri ni wa kweli au ulaghai?
  • RELIGION INSTITUTIONALIZATION - Kitendo cha dini kuwa taasisi ambapo huna hiyari ya kukaa nje na ukikaa nje utaadhibiwa ni tatizo kubwa...uwepo wa dayosisi na majimbo, mfumo wa ibada na jumuia umekaa kikukusanya mapato zaidi badala ya kushibisha watu imani, hapa napo sina majibu yake!

Si vibaya kwa wenye majibu sahihi mkaja kutuondolea wasiwasi wetu kwa upole kama ambavyo mafundisho yenu yanavyosema, muwe na kiasi ... msiwe wakali sana.

(Ni mtazamo binafsi)
 
Ushayakana mengi kwa kauli hii.
Si umesema una paneal grands.geuza jiwe mkate.

Kwanini mpaka ufanye kazi na ujitume.mbona hayo ni maamrisho ya Dini ya mungu?
Asiye Fanya kazi na asile.

We si umesoma?

Wapi pameabdikwa kila mtu alipatikana kwa kujamiina?
Thibitisha kama wazazi wako walijamiiana ukapatikana wewe.

Adam alipatikana kwa kugegedana nani na nani?

Hawa/Eva alipatikana kwa kugegedana nani na nani?

Yesu/issa alipatikana kwa kugegedana nani na nani?

Pia kama unaamini evolution theory ya uongo ya Charles d.

Masokwe yalipogeuka binadamu yaligegedana na nani?

Unachokiamini wewe ndio uongo.hujijui tu!
Umelewa somo la kishetani(philosophy)

Unatumia kiungo gani kufikiri?
 
Ya kaisha wapanga kwa maana wote wanaweza kwenda peponi au wote wanaweza kwenda motoni bila yeye kupungukiwa na chochote wala kuongezekewa na chochote.
Maana mungu si mdhurumaji!
Kashakupa machaguzi na kakupa matokeo ya machaguzi hayo.
Ukifata mafundisho yake utanda peponi.
Usipofata utaenda motoni.
Najua hata wewe unayajua haya.

Na kanuni hii ndio inayotumika duniani.mwenye kufuata sheria Fulani atakua Fulani.

Na vinginevyo ni dhuruma na upendeleo.

Mungu hadhurumu wala hapendelei.

Ivi wewe ni imani gani? naona hoja za waislamu umo za ukiristo umo!!
 
Nimepaona Mashaxizo ni kweli kabisa dini ni utumwa na wanaoongozwa na dini wote ni watumwa, ila ukimjua Mungu utakuwa na amani na huru kabisa. Mungu yupo na Mungu ni pendo ,sema lingine best...

Hahahahaaa! wadogo zako wote wameolewa jamani!!! nataka mmoja tu unaefanana nae.
 
Last edited by a moderator:
MUNGU, DINI!! Dah, mkuu umegusa pabaya sana ... umegusa sehemu ambayo wengi wanaogopa hata tu kupaona but naamini kabisa kwa utashi, maendeleo na elimu tulizonazo, Dini na Mungu ni vitu vinavyoweza kuongeleka as ni vitu tulivyovikuta na kufundishwa mara tu baada ya kuingia hapa duniani na pengine tutaviacha. Mashaxizo binafsi naamini hoja na maswali yako yote ni ya msingi, na bandiko lako lina uwakilishi wa wengi, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu maswali yote uliyouliza na mengine mengi ni aina ya mkanganyiko wa kimawazo ambao umewahi kuwapitia wengi wetu. Pamoja na kwamba sijajiandaa vema kushiriki mtazamo kutoka kwenye ubongo wangu ni kama ifuatavyo;

1. UWEPO WA MUNGU KAMA MUNGU: Kwanza nitoe msimamo wangu, binafsi kama maana ya MUNGU ilivyo, naamini uwepo wa MUNGU kwa maana ifuatayo [only as (GOD - A spirit worshipped as having power over nature or human fortunes; a deity.)] yupo.

Source: https://www.google.co.tz/search?q=G...urceid=chrome&es_sm=93&ie=UTF-8#q=Define:+God

Na sababu za mimi kukubali na kuamini kuwa MUNGU huyu yupo ni zile zile ambazo Mashaxizo unaamini MUNGU yupo kama ifuatavyo;
  • Bahati : Uwepo wa bahati kwangu ni ishara tosha kabisa kuwa MUNGU yupo coz knows nothing, bahati haimjui yeyote wala chochote na ni kwa yeyote. Elimu, Nguvu, Umakini, Uzuri, Utajiri haukuhakikishii furaha na mafanikio mbeleni
  • Origin of life: Ukweli ni kwamba sayansi na wanasayansi wamefanikiwa kwa mengi sana lakini kushindwa kwa sayansi na elimu kuelezea origin of life kumeendea kuacha mwanya mkubwa kuwa MUNGU ninayemwamini mimi yupo.

2.UWEPO WA MUNGU ANAYETAJWA KWENYE DINI: Hapa ndipo tatizo langu la kuamini uwepo wake(Mungu wa Dini) na Biblia linapokuja; Kama maswali yako yote uliyouliza, nimeshindwa kuwa mtu wa kuitikia tu ninachoelezwa na wachungaji/Waliookoka na Biblia. Kubwa hapa imekua ni saikolojia na kujiamini na hili sihitaji kulitolea mifano coz hiyo ndiyo hali halisi. Kwa kuongezea pale ambapo Mashaxizo ulipoishia naomba niongeze yafuatayo:
  • DINI NA UTUMWA - Ushiriki wa hizi dini kwenye biashara ya utumwa na ukoloni, ni kitu cha kwanza ambacho kimekuwa kikinitia wasiwasi mkubwa, makanisa na misikiti yote ya awali ilijengwa na watumwa kwa ''mkono wa chuma'' bila ujira wala huruma then hapo hapo later wanatolea mafundisho kuhusu MUNGU ... pengine kuna mengi yamejificha.
  • TOFAUTI YA BIBLIA - Nasikia kuna aina tofauti ya biblia, kuna baadhi ya vitabu vya biblia vipo kwa madhehebu fulani na havipo kwa madhehebu mengine...Kwanini?
  • MSAMAHA - Hoja ya msamaha kama inavyozungumziwa na dini esp. Christian imekuwa na ujanjaujanja na utata mwingi hasa kuhusu-kosa gani linasamehewa ama halisamehewi. Inaonekana kwamba makosa yote duniani yanasamehewa bila kujali ukubwa ama urefu wa kosa lenyewe ilimradi tu-... akiomba msamaha wa kweli kabla ya kufa. Hii binafsi, naona haijakaa sawa ...
  • HYBRID ANIMALS - Hapa napo pananipa maswali mengi, wametoka wapi hawa; LIGERS=LION+TIGERS, MULES=DONKEY+HORSE na aina nyingi za mbwa wa kizungu ... -je, nao wameumbwa na MUNGU ama SCIENCE?
  • UWEPO WA DINI NA MADHEHEBU - Uwepo wa dini nyingi zinazokinzana kwa kirefu sana ni swali gumu. Kwa mfano Hindus don't eat beef wakati wengine tunakula kila kitu, hii imekaaje?Nani yupo sawa?
  • SADAKA - Mfumo wa sadaka wa dini za sasa umekwenda na wakati kutoka vitu na sadaka binafsi mpaka fedha na nyumba za ibada, kwa hii enzi yetu anayetoa sadaka nyingi nyiye mtakatifu bila kujali hiyo sadaka imetoka wapi-... hapa pana tatizo kubwa na pananifanya nijiulize maswali yasiyo na majibu.
  • UADILIFU WA VIONGOZI WETU WA DINI/MASISTA - Uwepo wa waalamu wengi waliobobea wa huyo MUNGU wa dini ambao wenyewe ndio wala rushwa, wachoyo, wezi, wauwaji, waongo na wazinzi kunanipa pia maswali, je uwepo wa huyo MUNGU wanaye muubiri ni wa kweli au ulaghai?
  • RELIGION INSTITUTIONALIZATION - Kitendo cha dini kuwa taasisi ambapo huna hiyari ya kukaa nje na ukikaa nje utaadhibiwa ni tatizo kubwa...uwepo wa dayosisi na majimbo, mfumo wa ibada na jumuia umekaa kikukusanya mapazo zaidi badala ya kushibisha watu imani, hapa napo sina majibu yake!

Si vibaya kwa wenye majibu sahihi mkaja kutuondolea wasiwasi wetu kwa upole kama ambavyo mafundisho yenu yanavyosema, muwe na kiasi ... msiwe wakali sana.

(Ni mtazamo binafsi)

Nimekusoma mkuu munisijo, mi na we hatujapishana mbali coz hata mimi nakubali uwepo wa Mungu = supernatural power.

Kwa vile umehitaji wataalam wa kututoa huu utata basi tumskilize Mkuu wa chuo huenda akajibu vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wenye kusema hakuna Mungu,Kuna ambao kwao kuwepo ama kutokuwepo kwa Mungu wao hawajari,kuna ambao wenye kuamini Mungu lakini hawaamini dini,Kuna wenye kuamini kuwa Mungu ni sisi wenyewe binadamu na wengine wengi tu.

Lakini ajabu hao wote hujiona wapo sahihi ila ambaye huwaona si sahihi na kuwapinga na kuwaona wamepotea kabisa ni Wakristo na Waislamu. Na kuhoji kwanini kila dini ijione ndiyo sahihi?hivyo basi zote si sahihi. Wanasema ikiwa ukristo na uislamu wenye kusema Mungu ni mmoja iweje dini mbili zote ziwe sahihi hivyo hizi dini zote ni uzushi.

Sasa na mie nauliza mbona na nyie mnatofautiana hivyo inamaana wote nyie mpo sahihi ila tatizo ni Uislamu na Ukristo tu?
 
Swali zuri.

But jee unaangalia na athari baina ya hayo makundi?
 
Back
Top Bottom