Young Master acha kuzunguka mbuyu...Mhmmm!!! Niambie mama...weekend yako inasemaje? Leo unaenda kuruka majoka wapi?
Young Master acha kuzunguka mbuyu...
Ooops.. Elizabeth Dominic nimeona missed call yako will b back to u in no tym.
shosth nlikwambia wakati ndio sasa ndo mwenyewe
Mhmmm!!! Niambie mama...weekend yako inasemaje? Leo unaenda kuruka majoka wapi?
Ingawa imezaa vilengo vingine vidogodogo...
Kama Young Master anachojaribu kufanya.
Young Master acha kuzunguka mbuyu...
Ooops.. Elizabeth Dominic nimeona missed call yako will b back to u in no tym.
Mimi majoka? nawaachieni nyie vijana.......................lol
eh eh eh....................mbona hukupiga tena pesa imekwisha kwa simu? Mwenzio Young Master anatwanga Airtel kwa voda tumeongea kwa masaa 3..................
Nachoona hapa ni kuwa lengo kuu la mada hii ilikuwa ni kudivert attention ya wakati ndio sasa toka kwa charminglady kwenda kwa Elizabeth Dominic lakini kwa navyomjua hommie wangu sidhani kama atashawishika kirahisi namna hii..........ngoja nimwite labda ..........
najuuta kukufahamu
hapo aliponilipia bili ungesema kwa herufi ndo au kwa ishara, cl akisikia nililipiwa lazima ang'ake