Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,394
- 205,818
Nikweli mkuu lakini naona vigezo ulivyotaja vinazionea album za zamani kama hizo ulizotaja hapo juu MACHOZI JASHO NA DAMU, A.K.A MIMI, SAUTI YA DHAHABU pia DUNIA MAPITO na nyingine nyingi huko nyuma, hii inatokana na muda ambao A Boy from Tandale imetoka ni muda ambao teknologia ipo juu sana.Uzuri mmoja nimetaja na vigezo
Hivi unadhani teknolojia kama hii ingekuepo kipindi hzo album kongwe zinatoka hao views, shows, na collabo zisingefika vigezo vyako?