Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,141
- 56,601
Aisee labda pia wanapenda kuwa na HIV.Maana njia za kujikinga zinajulikana why wanaendeleza ngono Zembe?Mbona jibu unalijua, si wanafanya mchezo. Simple !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aisee labda pia wanapenda kuwa na HIV.Maana njia za kujikinga zinajulikana why wanaendeleza ngono Zembe?Mbona jibu unalijua, si wanafanya mchezo. Simple !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Elia,
Watu siku hizi wajanja wanakupima halafu wanarudi mlango wa nyuma wanahonga unakuja siku ya majibu unaambiwa nyote negative utabisha? Usifanye mchezo na watanzania wana akili sana mkuu
Ongezeko la watu wenye HIV huko Botswana kumechangiwa utamaduni na mila zao watu wa Botswana kitu ngono ni cha kawaida sana ni kama vile kula kwa mama nitilie ,wana ile tabia ya 'kunyima ntu mi siwezi somo' hata kuwa watupu mchana kweupe hawaoni kazi utakuta mtu na dadake wanaoga nje kwenye besebni moja mbele ya wazazi wao na hata wazazi wao ni vivyo hivyo ,wanaoga kwa kwa kutumia beseni moja sababu pia huko maji,wao huita puma nis hida kwelikweli.Hapa tunapata fundisho kuwa tusipo badili tabia nasi tutakuwa kama Waswana,tukumbuke kuwa Waswana wako wachache ,si tunaona hatujafika huko sababu ya wingi
Du kazi,nini kinasababisha?
dah, inabidi tununue vifaa vya kupimia tuviweke majumbani mwetu kwa shughuli za upimaji kabla ya gemu!
Elia,
Watu siku hizi wajanja wanakupima halafu wanarudi mlango wa nyuma wanahonga unakuja siku ya majibu unaambiwa nyote negative utabisha? Usifanye mchezo na watanzania wana akili sana mkuu
makirikiri wote wale wanakula arv mkuu
nashangaa sana mkuu mmoja wa TRA eti kachumbia mojawapo wa vile videmu vinavyocheza jukwaani
ushamba bana! yaani alikosa mademu hapa tanzania?
dah, inabidi tununue vifaa vya kupimia tuviweke majumbani mwetu kwa shughuli za upimaji kabla ya gemu!
HIV sio ugonjwa tena ni vijimaradhi vya kawaida , kula vizuri na zingatia kanuni za afya utaishi kama kawaida