90% Ya Botswana wana HIV

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu mliopo Botswana na mnaotegemea kusafiri kuelekea huko na nyie wengine mlio na plan za kuoa huko hiyo ndiyo habari
source BBC Africa
 
Duh kuna kasichana hapa ofisini kametokea Botswana mzuri sana ananitomasa tomasa ila kama probability yenyewe ndio hii ya almost 1-certainty basi ngoja nimkimbie duh asante kwa taarifa mkuu
 
Source: HIV & AIDS in Botswana

Botswana has been hard hit by AIDS. In 2009 there were an estimated 300,000 adults living with HIV - or one quarter of the population aged 15 and over. Considering Botswana's population is below two million, the epidemic has reached disturbing proportions. The country has an estimated adult HIV prevalence among 15-49 year olds of 24.8%, the second highest in the world after Swaziland.[SUP]1[/SUP]
HIV and AIDS has had a devastating impact on Botswana. Life expectancy at birth fell from 65 years in 1990-1995 to less than 40 years in 2000-2005, a figure about 28 years lower than it would have been without AIDS.[SUP]2[/SUP]
 
HIV sio ugonjwa tena ni vijimaradhi vya kawaida , kula vizuri na zingatia kanuni za afya utaishi kama kawaida
 
Du kazi,nini kinasababisha?

Swali zuri sana ... and I know you r too young to bother to know all this!!Lol

Lakini sisi wakubwa tunaambiwa kuwa HIV vitatafuna CD4 za hao 90% za Wabotswana hadi zibakie Zero ...na watakufa wote sijui tarehe gani vile?

LAKINI. Nikuambie kitu, habari hizi ni nyingi sana siku hizi! Ukizisikia ...CHANGAYA na zako ... ndio uchukue hatua ..Gonga hapa ..HIV & AIDS - VirusMyth HomePage
 
mDONOAji tu!!!!!!

Mkuu aluu we acha tu! kitu cha uhakika nakuambia sote ofisini tunakimezea mate. Natamani ungelikuwa pande hii mkuu ningelikuunganishia maana ni type zile unazozipendelea wewe.

But hii taarifa kama ni kweli nyongo yote ishanitoka aibu mtu mzima kama mie kwenda miwaya hapana bana. Wacha nimkimbie tu.
 
Dawa ni kupima.. kabla ya ku-du

Elia,

Watu siku hizi wajanja wanakupima halafu wanarudi mlango wa nyuma wanahonga unakuja siku ya majibu unaambiwa nyote negative utabisha? Usifanye mchezo na watanzania wana akili sana mkuu
 
Kazi ipo wazungu wanawakatisha jamaa tamaa ili wachukue madini kama kawaida yao coz sheria zao za madini haziwaruhusu kuyachota kilaini kama wanavyofanya nchi nyingine za kiafrika
 
kwamba hata wale wa makirikiri kwisha habari yao,.....ooooooh

makirikiri wote wale wanakula arv mkuu
nashangaa sana mkuu mmoja wa TRA eti kachumbia mojawapo wa vile videmu vinavyocheza jukwaani
ushamba bana! yaani alikosa mademu hapa tanzania?
 
HIV sio ugonjwa tena ni vijimaradhi vya kawaida , kula vizuri na zingatia kanuni za afya utaishi kama kawaida

Mkuu samahani, hii notion ni mbaya sana, hata kama unao au la ila ni muhimu kuwaambia watu ukweli kuwa HIV is a terminal decease, wakiishajua hayo then mengine yanafuata baadae.
 
Hizi habari sio za kuziamini handredi pa senti. Nakumbuka 1984 kulikuwa na takwimu na utabiri uliosema kabla ya karne kuisha Afrika itapukutika kwa ukimwi lakini idadi ya watu ndo inazidi kuongezeka. All the doom prophecy that was cast at that time has been proven wrong. Hizi ni takwimu za udaku!
 
Back
Top Bottom