9 Muslim passengers kicked off flight after remark

Abdulhalim

Platinum Member
Jul 20, 2007
17,193
3,011
WASHINGTON – Nine Muslim passengers were kicked off a flight from Washington, D.C., to Florida after other passengers reported hearing a suspicious remark about airplane security.

AirTran Airways spokesman Tad Hutcheson called the incident on the New Year's Day flight from Reagan National Airport to Orlando, Fla., a misunderstanding, but defended the company's response. He said the airline followed federal rules and did nothing wrong.

One of the Muslim passengers, Kashif Irfan, told The Washington Post the confusion began when his brother was talking about the safest place to sit on an airplane.

"My brother and his wife were discussing some aspect of airport security," Irfan said. "The only thing my brother said was, 'Wow, the jets are right next to my window.'"

Irfan told the newspaper he thought he and the others were profiled because of their appearance. The men had beards and the women wore headscarves, traditional Muslim attire.

Irfan, 34, is an anesthesiologist and his brother is a lawyer. Both live in Alexandria, Va., with their families, and were born in Detroit. They were traveling with their wives, Irfan's sister-in-law and Irfan's three sons, ages 7, 4 and 2. A family friend also was traveling with the group to a religious retreat in Florida.

Federal officials ordered the rest of the passengers from the plane and re-screened them before allowing the flight to depart.

The family was upset that AirTran didn't allow the Muslim passengers to book another flight. They eventually made it to their destination on a US Airways flight.

"The FBI agents actually cleared our names," Inayet Sahin, one of the family members kicked off the flight, told CNN. "They went on our behalf and spoke to the airlines and said, 'There is no suspicious activity here. They are clear. Please let them get on a flight so they can go on their vacation,' and they still refused."

Hutcheson said the passengers were given a full refund and are welcome to fly on AirTran now that the investigation is complete.

Hutcheson and a federal Transportation Security Administration spokeswoman said the pilot was right to postpone the flight.

"At the end of the day, people got on and made comments they shouldn't have made on the airplane, and other people heard them," Hutcheson said. "Other people heard them, misconstrued them. It just so happened these people were of Muslim faith and appearance. It escalated, it got out of hand and everyone took precautions."

One of the passengers removed, Abdur Razack Aziz, said he will consider a lawsuit.
 
Kazi kweli kweli. Hii inaonekana ni ubaguzi wa kiimani kwa dini moja kwa dini nyingine. Sijuhi kama wasingekuwa na muonekano wa kiislam/kiarabu sijuhi kama wangetendewa kama walivyotendewa.Sasa inabidi watu wenye imani za kiislam na wanaovaa kwa tamaduni kama hizi wakipanda ndege wachunge sana maneno yao ya kuongea.
 
Racial profile at its worst. Nao pia kama wasafiri wengine wanajali safety zao wanapokuwa kwenye usafiri wa aina yoyote ile. Hivyo nao wana haki ya kuzungumza juu ya hilo na kufanya hivyo haina maana wanataka kuwadhuru wasafiri wenzao.
 
Airline Offers Apology Over Detained Muslim Passengers

AirTran Airways has issued a public apology and provided free return airfare to nine Muslim passengers who were forced off an AirTran flight to Orlando at Reagan National Airport yesterday after two other passengers overheard what they construed as threatening remarks.

This Story
Airline Offers Apology Over Detained Muslim Passengers
9 Muslim Passengers Removed From Jet
AirTran spokesman Tad Hutcheson said the company had also agreed to refund the travelers the cost of their tickets on another carrier after AirTran refused to rebook them.

"We regret that the issue escalated to the heightened security level it did on New Year's Day, but we trust everyone understands that the security and the safety of our passengers is paramount and cannot be compromised," read a company statement. "We apologize to all of the passengers -- to the nine who had to undergo extensive interviews from the authorities and to the 95 who ultimately made the flight. Nobody on Flight 175 reached their destination on time on New Year's Day, and we regret it."

The nine passengers, including three young children, were headed to a religious retreat in Florida on New Year's Day when they were ordered off the flight but subsequently cleared of suspicion by FBI agents who characterized the incident as a misunderstanding, according to an airport official.

Federal and airline officials as well as several of the removed passengers said in interviews that the incident began about 1 p.m. after three of the passengers wondered aloud about the safest place to sit on the airplane. The conversation occurred as Atif Irfan, 29, his wife, Sobia Izaz, 21, and their sister-in-law, Inayet Sahin, 33, were walking along the aisle toward their seats at the back of the plane.

Officials said several other passengers overheard the conversation and became alarmed when they heard Sahin remark that sitting near the engines would not be safe in the event of an accident or explosion. Irfan and Izaz said the remark was entirely misconstrued and that the conversation was nothing more than innocuous banter.

"The conversation we were having was the conversation anyone would have," Irfan said of his sister-in-law in a telephone interview from Florida today. "She did not use the word bomb, she did not use the word explosion. She said it would not be safe to sit next to the engines in the event of an accident."

The three were traveling with six others: Irfan's brother, Kashif, 34; Kashif's three boys, ages 7, 4 and 2; Sahin's sister; and a family friend. All but one are U.S.-born citizens, but Kashif Irfan said he and the others think they were profiled at least in part because of their appearance. He said three of the six adults in the party are of Pakistani descent, two are of Turkish descent and one is African American. He also said they have a traditionally Muslim appearance, with the men wearing beards and the women in head scarves.

Hutcheson said yesterday that it was ultimately the pilot's decision to postpone the flight. But he said the pilot was influenced not only by the complaints from passengers but by the actions of two federal air marshals on board, who had learned of the incident and reported it to airport police.

As a result of the report about the conversation, federal officials made the decision to order all 104 passengers from the plane and re-screen them and their luggage before finally taking allowing the flight to take off for Orlando -- two hours late and without the nine passengers.

Ellen Howe, a spokeswoman for the Transportation Security Administration, said the pilot acted appropriately.

"For us, it just highlights that security is everybody's responsibility," Howe said. "Someone heard something that was inappropriate, and then the airline decided to act on it. We certainly support [the pilot's] his call to do that."

Atif Irfan said he was glad for the apology but said the group was still discussing whether to accept AirTran's offer of a refund and free travel.

"They are being very conciliatory," he said.

Airline Offers Apology Over Detained Muslim Passengers - washingtonpost.com
 
Nini maoni yako Dr Mtindio....

Hahaha, YO YO, umerudi mkuu! Utakumbuka kwenye thread ya ustaadh kumnanih... msichana ulisema "watapinga. Subiri uone" au maneno yanayofanana na hayo" iwapo sikukunukuu vizuri, mkuu.

Jamani, usafiri wa anga ni wa hatari sana japo ni wa haraka mno na una starehe zake pia. Kutokana na nature ya risk yake, maximum precaution ni muhimu. Airline wamechukua hatua baada ya msafiri mwenzao kuhisi kitu. Chamaana ni kujiuliza "kwanini jamii inakuwa so suspicious na watu wanaovaa hiyo attire? Wanahusishwa na nini hata jamii inawawekea wasiwasi mkubwa kiasi hicho? Wajitafakari wenyewe kwanza. Wajue airline kuomba radhi ni suala la uungwana na kutetea biashara tu, lakini haliondoi wasiwasi wa jamii dhidi ya wanaovaa attire hiyo wakiwa katika ndege! Binafsi nimesafiri kwa ndege mara nyingi ndani na nje ya nchi, na kitendo cha abiria kuchagua siti au kusema sentensi za aina hiyo iliyosemwa na jamaa hao ni ya kawaida mno katika ndege miongoni mwa abiria. Sasa kwanini sentensi zao tu zimepewa uzito mkubwa na abiria wenzao mpaka wakaripotiwa kwa airline security? Kabla ya kunyooshea vidole wengine, wajichunguze wenyewe kwanza - why people clothed in this attire tu? What an association/connection? wametenda nini kwa jamii? Usishangae ikatokea ulaya, australia nk. Subiri, tutasikia tena mahali pengine!
 
...nao wamezidi ku overreact, mbona haya mambo yanazungumzwa kawaida tu, tena ukitaka uupatie kule 'kajamba nani', chagua seat 21A au 24A ...lakini mnh, ama kweli kuvaa kanzu na kufuga midevu siku hizi noma, labda kwa safari za Hijja tu!
 
Hahaha, YO YO, umerudi mkuu! Utakumbuka kwenye thread ya ustaadh kumnanih... msichana ulisema "watapinga. Subiri uone" au maneno yanayofanana na hayo" iwapo sikukunukuu vizuri, mkuu.

Jamani, usafiri wa anga ni wa hatari sana japo ni wa haraka mno na una starehe zake pia. Kutokana na nature ya risk yake, maximum precaution ni muhimu. Airline wamechukua hatua baada ya msafiri mwenzao kuhisi kitu. Chamaana ni kujiuliza "kwanini jamii inakuwa so suspicious na watu wanaovaa hiyo attire? Wanahusishwa na nini hata jamii inawawekea wasiwasi mkubwa kiasi hicho? Wajitafakari wenyewe kwanza. Wajue airline kuomba radhi ni suala la uungwana na kutetea biashara tu, lakini haliondoi wasiwasi wa jamii dhidi ya wanaovaa attire hiyo wakiwa katika ndege! Binafsi nimesafiri kwa ndege mara nyingi ndani na nje ya nchi, na kitendo cha abiria kuchagua siti au kusema sentensi za aina hiyo iliyosemwa na jamaa hao ni ya kawaida mno katika ndege miongoni mwa abiria. Sasa kwanini sentensi zao tu zimepewa uzito mkubwa na abiria wenzao mpaka wakaripotiwa kwa airline security? Kabla ya kunyooshea vidole wengine, wajichunguze wenyewe kwanza - why people clothed in this attire tu? What an association/connection? wametenda nini kwa jamii? Usishangae ikatokea ulaya, australia nk. Subiri, tutasikia tena mahali pengine!

Mkuki kwa nguruwe kaka kwa binadamu mchungu!! Wazungu wote hawausishwi na ugaidi kutokana na ule ugaidi uliofanywa na Mcveigh na kundi lake la wazungu watupu Oklahoma 1995 na kuua mamia ya watu wasiokuwa na hatia.

Hivyo hivyo waarabu wote wasihusishwe na ugaidi kutokana na jinsi tu wanavyovaa mavazi yao. Undumilakuwili huu wa ndiyo unafanya asilimia kubwa ya walimwengu kuzichukia sera za Marekani zenye ubaguzi wa hali ya juu.

Kumbuka ni hawa hawa walikuwa wanaunga mkono serikali ya wabaguzi wa Afrika Kusini na pia kumkatalia Mandela kuingia Marekani eti kwa vile ni 'Gaidi'.
 
kffrwhhsddddfffffghusxbcc gfgfgggggggggggggggggggggggggggggggggggggbg bhuj'jknkk klkkmklklkpm m;l;;., ;l[;l [];[';
\]\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\mmmmnmnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnkl]\]l[']\
 
LOL!...Lusajo hii lugha gani tena ;) hebu tutafsirie maana nimetoka kapa :)
 
Nini maoni yako Dr Mtindio....

Taib,

Maoni yangu Dr. Yoyo ni kama ifuatavyo. Hatua iliyochukuliwa na AirTran Airways ni sahihi kabisa 100%.
. Maisha ni mafupi sana na matamu, huwezi kuachukua risk ya kuwabeba hapa mafanatics, nadhani historia yao inajieleza kuliko maneno yote yanayopatikana ulimwenguni.
 
Mkuki kwa nguruwe kaka kwa binadamu mchungu!! Wazungu wote hawausishwi na ugaidi kutokana na ule ugaidi uliofanywa na Mcveigh na kundi lake la wazungu watupu Oklahoma 1995 na kuua mamia ya watu wasiokuwa na hatia.

Hivyo hivyo waarabu wote wasihusishwe na ugaidi kutokana na jinsi tu wanavyovaa mavazi yao. Undumilakuwili huu wa ndiyo unafanya asilimia kubwa ya walimwengu kuzichukia sera za Marekani zenye ubaguzi wa hali ya juu.

Kumbuka ni hawa hawa walikuwa wanaunga mkono serikali ya wabaguzi wa Afrika Kusini na pia kumkatalia Mandela kuingia Marekani eti kwa vile ni 'Gaidi'.

Hayo ni maoni yako, and you are entitled to them.

Wale jamaa wenye madevu wamekutwa ktk ardhi ya USA tena ktk chombo cha usafiri ambako nidhamu ya hali ya juu inahitajika, na kukawa na concern ya security kutoka abiria wengine..Sasa wewe ulitakaje? Ndege ipae tu bila kujali nini kinaweza kutokea?

Hiyo khabari ya sera, sijui wazungu, inaingiaje hapa wajameni?
 
Hao ma Taliban wa Unyamwezini kushushwa ni haki yao 100%. Ushetani walio fanya 911 utawafuata maisha yao yote. Na sioni huruma yeyote. I lost one of my friend at WTC. kwa upumbavu wa hawa Mohammadans.

Mmoja wao ni Wakili, kama anaubavu aende Federal Court afile law suit, what ever district he is, maana hii ni Federal issue. Halafu utasikia wakavyo pelekwa mputa, na kujuta maisha yao.

Hayo ni maoni yako, and you are entitled to them.

Wale jamaa wenye madevu wamekutwa ktk ardhi ya USA tena ktk chombo cha usafiri ambako nidhamu ya hali ya juu inahitajika,

Wote hao ni wazaliwa wa Detroit, USA hivyo wana haki ya kuwa Marekani kama Mmarekani yeyote yule.

na kukawa na concern ya security kutoka abiria wengine..Sasa wewe ulitakaje? Ndege ipae tu bila kujali nini kinaweza kutokea?,

Walichokuwa wanaongelea ni nafasi ipi nzuri ya kukaa pindi kunapotokea ajali ya ndege ambayo unaweza ukatoka hai au na majeraha machache ambayo hayatishii uhai wako, hili wasafiri wengi wanalifanya wawe wazungu, waarabu au hata waafrika, Hakuna cha ajabu hapo.

"The conversation, as we were walking through the plane trying to find our seats, was just about where the safest place in an airplane is," said Inayet Sahin, Kashif Irfan's wife. "We were [discussing whether it was safest to sit near] the wing, or the engine or the back or the front. But that's it. We didn't say anything else that would raise any suspicion."

Hiyo khabari ya sera, sijui wazungu, inaingiaje hapa wajameni?

Nadhani umeshasikia kwamba reputation ya Marekani katika miaka 8 ambayo Kichaka alikuwa madarakani imeshuka mno duniani hata kwa marafiki zao kama nchi za Europe, Canada n.k. ni kutoakana na mambo kama haya ya kunyanyasa raia wasiokuwa na hatia zozote. Wazungu wanaingia kwa sababu maongezi waliyokuwa wanaongea yalikuwa hayatishii usalama wa wasafiri wengine, ni maongezi ya kawaida kabisa kwa wasafiri wengi wa ndege na kama wangekuwa wazungu basi hii habari wala isingetokea. Na kwa taarifa yako hilo shirika la ndege walilokuwa wanasafiri nalo limewaomba samahani soma hapa kwa makosa waliyoyafanya

AirTran apologizes to Muslim family removed from plane​

WASHINGTON (CNN) -- AirTran Airways apologized Friday to members of a Muslim family for kicking them off a plane and refusing to rebook them despite requests from FBI agents who had cleared them of wrongdoing.

Kashif Irfan, left, and his brother Atif Irfan were among family members removed from the flight Thursday.

1 of 2 The families of Atif Irfan, a tax attorney, and his brother Kashif Irfan, an anesthesiologist, were removed from a flight in Washington before takeoff Thursday after a passenger reported hearing Atif Irfan's wife say something suspicious.

The FBI interviewed the family and cleared them of wrongdoing.

"We regret that the issue escalated to the heightened security level it did," AirTran said in a statement Friday afternoon. "But we trust everyone understands that the security and the safety of our passengers is paramount." Read the full statement

The airline said it had refunded the family's money and offered to fly the family home to Washington free.

One family member, Kashif Irfan, said Friday he was "very appreciative and surprised" by AirTran's apology. "It's a very generous gesture," he said.

The statement was an abrupt about-face for the airline, which three hours earlier had issued a press release with an unapologetic description of the incident.

In that statement, the airline said it did not re-book the family only because the security concern had not been resolved, and because one member of the group "became irate and made inappropriate comments."

That account differed from accounts from the family and the FBI. The FBI said agents interviewed the family, resolved the security concerns and then tried to help re-schedule the flight with the airline. The FBI ultimately helped the family book a flight on USAirways. Watch how Muslims find climate of fear at airport »

The dispute occurred about 1 p.m. Thursday as Atif Irfan and his brother Kashif Irfan boarded AirTran flight 175 at Reagan National Airport near Washington for a trip to Orlando, Florida. They were accompanied by their wives, a sister and three children.

Federal officials say a passenger on the plane notified a flight attendant about a suspicious conversation, and the flight attendant notified the pilot and Federal air marshals who were aboard. The pilot asked the air marshals to remove the passengers, said Transportation Security Administration spokesman Christopher White.

"The conversation, as we were walking through the plane trying to find our seats, was just about where the safest place in an airplane is," said Inayet Sahin, Kashif Irfan's wife. "We were [discussing whether it was safest to sit near] the wing, or the engine or the back or the front. But that's it. We didn't say anything else that would raise any suspicion."

The conversation did not contain the words "bomb," "explosion," "terror" or other words that might have aroused suspicion, Atif Irfan said.

"When we were talking, when we turned around, I noticed a couple of girls kind of snapped their heads," said Sobia Ijaz, Atif Irfan's wife. "I kind of thought to myself, 'Oh, you know, maybe they're going to say something.' It didn't occur to me that they were going to make it such a big issue."

Authorities first removed Atif Irfan and Sobia Ijaz, then returned for the rest of the family, including three small children. They also removed a family friend, Abdul Aziz, a Library of Congress attorney who was coincidentally taking the same flight and had been seen talking with the family.

After the FBI interviewed family members, the agency released them, Irfan said.

"The FBI agents actually cleared our names," said Sahin. "They went on our behalf and spoke to the airlines and said, 'There is no suspicious activity here. They are clear. Please let them get on a flight so they can go on their vacation,' and they still refused." Watch Muslims recount how they were kicked off plane »

In statements Thursday night and Friday morning, AirTran said it "complied with all TSA, law enforcement and Homeland Security directives and had no discretion in the matter."

But TSA spokesman White said it was the pilot's decision to remove the family and the airline and pilot had the ultimate authority to decide whether to allow the family back on AirTran flights.

An FBI spokesman confirmed Friday that agents intervened on behalf of the family with AirTran. When AirTran declined to book the family, agents helped them get tickets with USAirways, FBI spokesman Richard Kolko said.

"Our agents went way out of their way to make sure this family went on their trip," Kolko said. iReport.com: Share your story

After the family and friend were taken for questioning, the remaining 95 passengers, the crew and baggage were removed from the plane and rescreened, AirTran said.

Family members said Friday they had not decided whether to accept AirTran's apology, saying there were a variety of opinions.

Meanwhile, an Islamic group -- the Council on Islamic American Relations, or CAIR -- filed a complaint with the U.S. Department of Transportation, which oversees airlines.

"We believe this disturbing incident would never have occurred had the Muslim passengers removed from the plane not been perceived by other travelers and airline personnel as members of the Islamic faith," CAIR said in its complaint.
 
[SIZE=3"]Profiling makes TOTAL sense. That's why insurance companies do it. That's why the Israelis do it.

Hey, if 99.99% of terrorist plane hijackings are done by Muslims, why would you NOT profile Muslims? So as to not offend some Muslims who are not terrorists, if any? Cry me a river. No sympathy here.

People are suspicious of Muslims because of their violent actions and wicked behavior. They brought this suspicion upon themselves and have nobody else to blame for it.
[/SIZE]
 
Hata Mcveigh aliyewauwa maelfu ya watu pale Oklahoma alikuwa ni mwarabu Mwislamu, hata wale magaidi wa IRA toka Ireland waliouwa maelfu ya inncocent people Uingereza na Ireland kwa kupandikiza mabomu sehemu mbali mbali pia walikuwa ni waarabu waislamu. Lakini hatukuona hata siku moja Wazungu wote wakiwa profile kutokana na ugaidi unaofanywa na watu wachache wenye roho za kikatili na wauaji. Eti wataendeshwa mputa na kujutia maisha yao!!!! Duh!!! Kazi kweli kweli!!
 
Wote hao ni wazaliwa wa Detroit, USA hivyo wana haki ya kuwa Marekani kama Mmarekani yeyote yule.

Kuwa mzaliwa au raia wa Marekani ndo uanona ni sababu kwa hawa jamaa kuachwa tu hata kama wanaashiria vitendo vya kigaidi? Is this your best reason?
 
Hata Mcveigh aliyewauwa maelfu ya watu pale Oklahoma alikuwa ni mwarabu Mwislamu, hata wale magaidi wa IRA toka Ireland waliouwa maelfu ya inncocent people Uingereza na Ireland kwa kupandikiza mabomu sehemu mbali mbali pia walikuwa ni waarabu waislamu. Lakini hatukuona hata siku moja Wazungu wote wakiwa profile kutokana na ugaidi unaofanywa na watu wachache wenye roho za kikatili na wauaji. Eti wataendeshwa mputa na kujutia maisha yao!!!! Duh!!! Kazi kweli kweli!!

Ndio kazi kweli kwa mtu anayekataa kuuona ukweli.. Mimi nawasapoti Wamarekani kwa hatua yeyote watakayoiona inafaa kulinda maslahi yao. Maana ni haki yao na nchi ni yao. Who are you kuwaambia nini cha kufanya?

Hakuna mtu duniani asiyewajua watu wenye madevu wanasifika kwa kitu gani ..ni mtu kiziwi na kipofu tu ndio anayeweza kutoona na kusikia yale yaliyo dhahiri.
 
Hata Mcveigh aliyewauwa maelfu ya watu pale Oklahoma alikuwa ni mwarabu Mwislamu, hata wale magaidi wa IRA toka Ireland waliouwa maelfu ya inncocent people Uingereza na Ireland kwa kupandikiza mabomu sehemu mbali mbali pia walikuwa ni waarabu waislamu. Lakini hatukuona hata siku moja Wazungu wote wakiwa profile kutokana na ugaidi unaofanywa na watu wachache wenye roho za kikatili na wauaji. Eti wataendeshwa mputa na kujutia maisha yao!!!! Duh!!! Kazi kweli kweli!!

Inaonekana hujuwi sababu za Tim M zilizo mfanya alipuwe FBI building.

Naona umeamua kwa makusudi kuruka Mlipuo wa India. Huo ndio Uislam.

Upende usipende, wewe kama ni Taliban Muhamadan, ukikatisha mitaa ya Unyamwezini lazima upate kibano, na hiyo ndio haki ya kuwa Terrorist. Waislam ni Materrorist, na jamaa zetu wa Israel hivi sasa wanawafundisha adabu Hamas, mpaka kieleweke.

Kama nilivyo sema, huyo Attorney anayo haki ya kufile lawsuit. Anakaribishwa kufanya hivyo within alloted time.
 
Last edited:
Walichokuwa wanaongelea ni nafasi ipi nzuri ya kukaa pindi kunapotokea ajali ya ndege ambayo unaweza ukatoka hai au na majeraha machache ambayo hayatishii uhai wako, hili wasafiri wengi wanalifanya wawe wazungu, waarabu au hata waafrika, Hakuna cha ajabu hapo.

Haijalishi nini walikuwa wakiongea..Mtu yeyote akiona usalama wake upo hatarini anayo haki ya kutoa alarm kwa hatua kuchukuliwa, hadi itakapothibitika kuwa hakuna threat. Lakini hatua ya kwanza ya kuahirisha safari na 'kuwatema' suspects, nasisitiza ni halali.

Sijaelewa tatizo lako ni ugumu wa kuelewa au kuna sababu nyingine ya ziada.
 
Back
Top Bottom