5G is here...even before you've used 4G

MkenyaHalisi

Member
Jan 27, 2016
42
22
AT&T gets ready to test 5G technologies this 2016

AT&T has been working on possible 5G technologies, such as millimeter waves, for years. Now that it's time to get serious, it's teaming up with Ericsson and Intel to ramp up its development in the lab in the second quarter of the year. After that, it's moving its 5G endeavors out of the lab and into the field, starting with outdoor tests over the summer.

The carrier says 60 percent of its mobile traffic in 2015 came from video. It's moving forward with its 5G plans, because emerging technologies like virtual reality, 4K video, robots, Internet of Things and self-driving cars will be even more demanding. As AT&T's Chief Strategy Officer John Donovan notes, those technologies "will be immersive, pervasive and responsive to customers. 5G will help make them a reality."

5G internet could be anywhere from 10 to 100 times faster than LTE, with users observing downloads going gigabits (yes, gigabits) per second. Imagine being able to finish downloading a TV show for less than three seconds. That's nowhere near enough time to get up and microwave some popcorn. AT&T believes its 5G network will even be able to start streaming videos much, much faster -- just 1 to 5 milliseconds from the moment you press play -- than an LTE connection.

If everything goes well, some parts of Austin, Texas will be able to test out Ma Bell's 5G tech by the end of this year. The company says it's conducting tests in a way that enables it to deploy the network commercially as soon as 5G standards are set. You'd have to wait a while for that to happen, though. 3GPP, the international consortium in charge of hashing out network standards, is working on it right now. However, phase one (of two) won't be completed until the first half of 2018. By the way, AT&T isn't the only US carrier gearing up to test its next-gen mobile network: Verizon will soon begin it
 
nilikuwa naangalia interview ya CEO wa alcatel lucent speed ya internet sio kigezo cha 5g kama wengi wanavyofikiri. 5g itaangalia sana vitu hivi

1. latency- wanaplan 5g iwe na latency chini ya 1ms. mfano kwa nchi yetu network ya simu yenye latency ndogo (halotel) ni around 30ms so 5g itakuwa very fast.

sababu kubwa ni kwamba 5g ikitoka kutakuwa na interconected cars, ajali za magari zitazuiwa na network hii hivyo itabidi iwe na latency ndogo sababu ajali hutokea haraka sana.

2. capacity.
miundombinu ya 5g itakuwa na capacity kubwa sana sababu inakadiriwa hadi ikitoka kutakuwa na vifaa bilioni 50 vinavyohitaji netowrk.

network yetu ya sasa ukiwa kwenye msongamano wa watu elfu kadhaa tu inakuwa slow hivyo network hii haitafaa miaka ijayo na 5g ndio itasolve kwa kuwa na capacity kubwa.

3. energy efficient
sasa hivi kuna vitu vidogo vidogo vinatumia internet kwa lugha ya pamoja tunaviita internet of things (IOT) hivi vitu ni kama smartwatch, fitness band, tracker, nk kwa udogo wa hivi vitu hata battery zake zinakuwa ndogo na network za sasw zinamaliza hiyo battery fasta. 5g itakuja solve hili pia.

so speed pekee si kigezo cha 5g na wengi wanaosema wamegundua 5g ni marketing gimmick tu.
 
kwa lugha nyingine ni nokia sababu Network yao miundombinu yake ni ya nokia. mitandao yote mitatu
Nokia wameingia wapi hapa, hivi vyote vimekuwa achieved na Samsung Electronics R&D Department... Hata ukiangalia Nokia kwenye 5g milestones wameachive speeds za 19.1Gbps while Samsung wameachive 20Gbps

5G networks | Nokia Networks

Samsung Testing 5G Network With Lightning Speed Standards Of 20 GB Per Second

kama nilivyosema hapo juu post yangu sijui kama umeielewa 5g haipimwi na speed na standard hata hazijawekwa hivyo mtandao wote unaoclaim una 5g ni uongo. wakikaa chini wakipanda standard za 5g then ndio tutaanza ongea.

kuhusu korea wanatumia technology za Nokia na samsung ni mtoto mdogo kwenye ulimwengu wa Telecom makampuni kma Ericson (leader), Nokia, Huawei,Alcatel lucent na Zte wana marketshare kubwa kumpita yeye. samsung sana sana yupo kwenye upande wa receiving ambapo ni masuala ya modem na chip zake za exynos na huku pia yeye si kiongozi pande hizi yupo qualcomm.

ushahidi kuwa speed ya korea ni kazi ya nokia.

korea wana mitandao mikubwa 3
1.skt
2.ktf
3.lg u
Mobile communications in South Korea - Wikipedia, the free encyclopedia

1.skt
Nokia Siemens Networks gets contract from Korea's SK Telecom | TelecomEngine.com

2. lg u
LG U+ selects Nokia Siemens Networks for LTE roll out in Korea | Nokia Networks

3.ktf
KT upgrades LTE upload speed with NSN, Ericsson

mitandao yote mitatu ni nokia ndio amewaekea 4g. so korea ina speed sababu ya nokia na sio research za sammy.

mjumuisho mitandao yote
NSN helps leading Korean operators become world’s first to launch LTE-Advanced commercially | Nokia Networks
 
Ukicheki hapa 5G | Insights | Networks | Samsung Business Global

Utaona kwamba Samsung for now haitakuwa on the receiving end tena but inaingia kwenye telecom equipment nao pia (na kuna wakati wengi walisema Samsung ni mtoto mdogo kwenye Mobile market now look at Samsung ndio wa pili behind apple, na huku kwenye telecom nampa muda mchache tu na ataongoza maana "Samsung Group" ni more powerful kuliko Ericsson na Nokia collectively )

Again soma vizuri hamna sehemu niliyisema kuna 5g, hizi zote ni test to prove the concept. Hizi companies zote kwanza zinaanza na kupush speeds above those za lte then mbele ndio wata boresha latency and etc.

And lastly, ni kweli kwa sasa all telecom companies in Korea wanatumia mitambo ya Nokia but in 5yrs I predict that won't be the case.
 
Siyo rahisi namna hiyo. Samsung bado sana kuingia katika market ya telecom. Aanze kwanza na kutengeneza research center zake, then aje kutengeneza device zake na kuziwekea patent.Game ya telecom hardware awaachie wakina Alcatel, Ceragon, Huawei, Nokia na Ericsson.
 
Mbona kaingia zamani anajiita Samsung Networks na kasha sign deal na Vodafone

Samsung enters into Network Infrastructure Global Framework Agreement with Vodafone | Samsung Business

Na hii pia ni Njia nzuri ya kumsaidia yeye kama yeye maana akidevelop hii 5g standard itamsaidia kuachana na kulipia patent kutoka kwa Ericsson na pia atakuwa analipwa kwa hiyo patent na other mobile companies.
 
Ukicheki hapa 5G | Insights | Networks | Samsung Business Global

Utaona kwamba Samsung for now haitakuwa on the receiving end tena but inaingia kwenye telecom equipment nao pia (na kuna wakati wengi walisema Samsung ni mtoto mdogo kwenye Mobile market now look at Samsung ndio wa pili behind apple, na huku kwenye telecom nampa muda mchache tu na ataongoza maana "Samsung Group" ni more powerful kuliko Ericsson na Nokia collectively )

Again soma vizuri hamna sehemu niliyisema kuna 5g, hizi zote ni test to prove the concept. Hizi companies zote kwanza zinaanza na kupush speeds above those za lte then mbele ndio wata boresha latency and etc.

And lastly, ni kweli kwa sasa all telecom companies in Korea wanatumia mitambo ya Nokia but in 5yrs I predict that won't be the case.

glad umekubali korea ni kazi ya nokia so tuje 5g sasa.

kama nilivyosema juu 5g standard zake hazijaekwa hivyo ni useless mtandao wa simu kusema tuna 5g sababu hakuna standard sijui unaelewa.

vitu vyote unavyoviona kwenye pc au simu vitu kama usb, 3.5mm jack, 3g, 4g, 2g, nfc, wifi, bluetooth nk hizo ni standard na watu walikaa chini wameziweka ila mpaka leo hakuna standard za 5g.

lini zitawekwa standard? nafikiri hili ndio swali la maana. tetesi mpaka sasa ni kwamba by 2020 ndi standard zitaekwa so bado 4g ipo sana tu

ITU: we'll have 5G standards ready by 2020

kama unakumbuka kuna 3g baadae ikatoka 3.5g then ikaja 3.75g

so sitashangaaa hizo gbps wanazoringia zikawa ni just 4.5g

mkuu hawa sammy na apple na makampuni mengine makubwa wana hela ila innovation zao ni ndogo sana. i respect samsung kwenye chipset hasa memory wapo juu ila network ni ngumu kumkamata nokia hasa hivi nokia ameinunua alcatel lucent.

nokia sio watu wa kujisifu ni nadra kuwaona vyombo vya habari ila shughuli yao kwenye soko hasa la mawasiliano si ya kitoto. ndio maana hadi leo hakuna simu inayotengenezeka bila kutumia tech ya nokia.

na wote nokia na alcatel (bell labs) wana historia ya kufanya innovation zinazoibadili dunia kuanzia simu ya kwanza iliyopigwa finland(nokia) kuja ugunduzi wa transistor(bell lab), kuja c++(bell lab) kuja pureview(nokia) kwenda nfc(nokia) kuja solar power (bell lab) kuja codec za video x264, x265 (nokia) kwenda ugunduzi wa laser (bell lab)

na mpaka leo samsung ni mteja mzuri wa technology za nokia. samsung analipa mabilioni ya fedha kwa nokia kutumia tech mbali mbali

Nokia continues to profit from smartphone legacy with Samsung patent deal

sidhani kama samsung ana uwezo wa kuwapita giants kama Nokia, Ericson na Huawei kwenye issue ya Network
 
Mbona kaingia zamani anajiita Samsung Networks na kasha sign deal na Vodafone

Samsung enters into Network Infrastructure Global Framework Agreement with Vodafone | Samsung Business

Na hii pia ni Njia nzuri ya kumsaidia yeye kama yeye maana akidevelop hii 5g standard itamsaidia kuachana na kulipia patent kutoka kwa Ericsson na pia atakuwa analipwa kwa hiyo patent na other mobile companies.

mkuu unapewa patents unapogundua kitu, samsung akiingia kwenye soko la network sasa hivi ndio atazidi kulipa patents kwa wingi sababu hana vitu alivyogundua.
 
glad umekubali korea ni kazi ya nokia so tuje 5g sasa.

kama nilivyosema juu 5g standard zake hazijaekwa hivyo ni useless mtandao wa simu kusema tuna 5g sababu hakuna standard sijui unaelewa.

vitu vyote unavyoviona kwenye pc au simu vitu kama usb, 3.5mm jack, 3g, 4g, 2g, nfc, wifi, bluetooth nk hizo ni standard na watu walikaa chini wameziweka ila mpaka leo hakuna standard za 5g.

lini zitawekwa standard? nafikiri hili ndio swali la maana. tetesi mpaka sasa ni kwamba by 2020 ndi standard zitaekwa so bado 4g ipo sana tu

ITU: we'll have 5G standards ready by 2020

kama unakumbuka kuna 3g baadae ikatoka 3.5g then ikaja 3.75g

so sitashangaaa hizo gbps wanazoringia zikawa ni just 4.5g

mkuu hawa sammy na apple na makampuni mengine makubwa wana hela ila innovation zao ni ndogo sana. i respect samsung kwenye chipset hasa memory wapo juu ila network ni ngumu kumkamata nokia hasa hivi nokia ameinunua alcatel lucent.

nokia sio watu wa kujisifu ni nadra kuwaona vyombo vya habari ila shughuli yao kwenye soko hasa la mawasiliano si ya kitoto. ndio maana hadi leo hakuna simu inayotengenezeka bila kutumia tech ya nokia.

na wote nokia na alcatel (bell labs) wana historia ya kufanya innovation zinazoibadili dunia kuanzia simu ya kwanza iliyopigwa finland(nokia) kuja ugunduzi wa transistor(bell lab), kuja c++(bell lab) kuja pureview(nokia) kwenda nfc(nokia) kuja solar power (bell lab) kuja codec za video x264, x265 (nokia) kwenda ugunduzi wa laser (bell lab)

na mpaka leo samsung ni mteja mzuri wa technology za nokia. samsung analipa mabilioni ya fedha kwa nokia kutumia tech mbali mbali

Nokia continues to profit from smartphone legacy with Samsung patent deal

sidhani kama samsung ana uwezo wa kuwapita giants kama Nokia, Ericson na Huawei kwenye issue ya Network

Sijakataa hapo standard ndio itawekwa in 2020 but hiyo haitawa stop China, Japan na korea hawa ku launch "5g" in 2018. Like it didn't stop the previous ones when it come to 4G.

Na ndio of course haya makampuni machanga yatalipa patents kwenda kwa Ericsson, Motorola na Nokia because hawa ndio waanzilishi wa vyote na hizi ndio rules of the game lakini kusema kuwa Samsung haitowaweza Ericsson na Nokia kwenye Telecom business sema ukweli sikubaliani na hilo maana tukiangalia the numbers hapa Je, nani ni giant?

b83eb941e4e41ef3f4624d32dd7a688b.jpg
20ed546a23930d74e931f7435d779f1c.jpg
aa0a883b12582838803342cc928f71db.jpg

Yani kwa hela Samsung alizonazo anauwezo wa ku invest more leading na kuwa na the best R&D in the telecom business na anauwezo hata ya wakuwanunua hawa jamaa (ukimtoa Ericsson) .. Tusiongelee Samsung kama vile ni Ka kampuni kadogo wakati ni a global power house.

Kuwafikia ni only a matter of time, kuna kale kamsemo kanakosema "hata mbuyu ulianza kama mchicha."
 
mkuu hebu kasome zaidi kuhusu standard sababu unaongea kisichoeleweka kwa lugha ya kawaida ni kama unasema

"mwanafunzi wangu ana akili sana atatoa majibu ya mtihani wa necta mwezi wa 6 kabla ya maswali hayajatoka mwezi wa 9"

standard zikitoka zinakuwa ni kama rules zinazowaguide haya makampuni kudevelop hizo technology hicho watakachokidevelop 2018 kabla ya standard kutoka si 5g wakitafutie jina.

na kusema samsung ni mchicha its so funny unatoka kuwasifia ni wakubwa halafu unasema ni mchicha.

na hao japan unaowasifia nao pia wanategemea makampuni ya juu nliokutajia kwa 4g vile vile.

huu si ulimwengu wa android kwamba utamdanganya mtu na vibenchmark vya uongo then watu wanunue simu hii ni very competitive business to business market hakuna mteja wa kawaida na mitandao ya simu inaponunua inanunua best na wana wataalam ambao ni ngumu kuwadanganya na gimmick.

na pia mkuu motorola haipo tena kwenye network zote motorola na siemens zimenunuliwa na nokia kwenye part zao za network. nokia alinunua patents kabla hata google hajainunua motorola.

Nokia Siemens buys Motorola network ops for $1.2 billion | Reuters
 
Huu uzi mtamu saana,inaonesha humu hakuna watu wengine wenye utaalamu na masuala ya network zaidi ya hawa jamaa wawili tu!!!!
 
mkuu hebu kasome zaidi kuhusu standard sababu unaongea kisichoeleweka kwa lugha ya kawaida ni kama unasema

"mwanafunzi wangu ana akili sana atatoa majibu ya mtihani wa necta mwezi wa 6 kabla ya maswali hayajatoka mwezi wa 9"

standard zikitoka zinakuwa ni kama rules zinazowaguide haya makampuni kudevelop hizo technology hicho watakachokidevelop 2018 kabla ya standard kutoka si 5g wakitafutie jina.

na kusema samsung ni mchicha its so funny unatoka kuwasifia ni wakubwa halafu unasema ni mchicha.

na hao japan unaowasifia nao pia wanategemea makampuni ya juu nliokutajia kwa 4g vile vile.

huu si ulimwengu wa android kwamba utamdanganya mtu na vibenchmark vya uongo then watu wanunue simu hii ni very competitive business to business market hakuna mteja wa kawaida na mitandao ya simu inaponunua inanunua best na wana wataalam ambao ni ngumu kuwadanganya na gimmick.

na pia mkuu motorola haipo tena kwenye network zote motorola na siemens zimenunuliwa na nokia kwenye part zao za network. nokia alinunua patents kabla hata google hajainunua motorola.

Nokia Siemens buys Motorola network ops for $1.2 billion | Reuters
Mkuu naelewa sana kuhusu vyote hivyo vya standards lakini na wewe kukuelewesha nataka kukupa mfano kidogo kwa kutumia 4g, The standard iliwekwa in 2008 but kabla ya hapo South Korea in 2007 walitoa WIMAX na Sweden wakaachia LTE (inayotumika kwetu hii) ambazo ndio first versions of 4G hata kama azikuwa compliant na standards lakini baadae standards zilivyotoka ndio waka tweak release zao iliziwe "TRUE 4G" Ambapo Korean wakarelease Mobile WIMAX Release 2 na Sweden LTE - Advanced. But ukiangalia Nchi nyingi hata Tanzania (tigo, smart) wanatumia LTE sio hiyo lte advanced ambayo ina comply na the standards put in place. Lakini bado tunaiita 4G. The same thing will happen na 5g inawezwa kuwa developed before standards kuwa set.

1ef80218348ca35447a85daeb7133358.jpg

Tukirudi sasa kwenye statement yangu ya 'Samsung kuwa mchicha " sijakosea maana kwenye the network game Samsung network division mbele ya kina Ericsson ni kama mchicha maana ni kampuni ya juzi na bado inakuwa so mfano wangu hapa sijakosea.

Lastly ukisoma link yako hapo vizuri utaona kuwa Nokia Siemens, Yes wamenunua Motorola's telecom division LAKINI bado Motorola wanaown "network technology patents" zao zote ambazo awajauza

"Under the deal, Motorola, which brought in $3.7 billion revenue from network equipment last year, will still keep its network technology patents, which Nokia Siemens can use through a cross-licensing agreement."

hii ni kama walivyo wafanyia Google walimuuzia Motorola Mobility lakini walibaki na patents zao zote, So bado Motorola wanalipwa na other mobile manufacturers kutumia patents zao kwenye simu.
 
Mkuu naelewa sana kuhusu vyote hivyo vya standards lakini na wewe kukuelewesha nataka kukupa mfano kidogo kwa kutumia 4g, The standard iliwekwa in 2008 but kabla ya hapo South Korea in 2007 walitoa WIMAX na Sweden wakaachia LTE (inayotumika kwetu hii) ambazo ndio first versions of 4G hata kama azikuwa compliant na standards lakini baadae standards zilivyotoka ndio waka tweak release zao iliziwe "TRUE 4G" Ambapo Korean wakarelease Mobile WIMAX Release 2 na Sweden LTE - Advanced. But ukiangalia Nchi nyingi hata Tanzania (tigo, smart) wanatumia LTE sio hiyo lte advanced ambayo ina comply na the standards put in place. Lakini bado tunaiita 4G.

1ef80218348ca35447a85daeb7133358.jpg

Tukirudi sasa kwenye statement yangu ya 'Samsung kuwa mchicha " sijakosea maana kwenye the network game Samsung network division mbele ya kina Ericsson ni kama mchicha maana ni kampuni ya juzi na bado inakuwa so mfano wangu hapa sijakosea.

Lastly ukisoma link yako hapo vizuri utaona kuwa Nokia Siemens, Yes wamenunua Motorola's telecom division LAKINI bado Motorola wanaown "network technology patents" zao zote ambazo awajauza

"Under the deal, Motorola, which brought in $3.7 billion revenue from network equipment last year, will still keep its network technology patents, which Nokia Siemens can use through a cross-licensing agreement."

hii ni kama walivyo wafanyia Google walimuuzia Motorola Mobility lakini walibaki na patents zao zote, So bado Motorola wanalipwa na other mobile manufacturers kutumia patents zao kwenye simu.

hata t-mobile aliita hspa+ 4g kila mtu anaruhusiwa kuita kitu chake 4g. kama utaona simu za marekani za miaka 4g inatoka mfano s2 na note 1 zote ukiconect 3g zinaandika 4g lakini je ni kweli ni 4g? jibu ni hapana wanaita tu 4g lakini still bado ni 3g sababu hspa+(h+) kistandard ni 3g

na lte ni lte kaka iwe advance au ya kawaida still ni 4g

kuhusu hizo wimax according to wikipedia zimekataliwa sio 4g ila mitandao ya simu still inaziita 4g na sababu kubwa ya kukataliwa hazijakidhi standard

so unaona nipo sahihi ukitengeneza kitu chako kabla ya standard, na standard ikatoka ujue kitu chako wanakipiga na chini unless una instinct za unabii uguess 2020 watakubaliana vipi.

hii paragraph ya wikipedia
"Since the first-release versions of
Mobile WiMAX and LTE support much less than 1 Gbit/s peak bit rate, they are not fully IMT-Advanced compliant, but are often branded 4G by service providers. According to operators, a generation of the network refers to the deployment of a new non-backward-compatible technology. On December 6, 2010, ITU-R recognized that these two technologies, as well as other beyond-3G technologies that do not fulfill the IMT-Advanced requirements, could nevertheless be considered "4G", provided they represent forerunners to IMT-Advanced compliant versions and "a substantial level of improvement in performance and capabilities with respect to the initial third generation systems now deployed"

4G - Wikipedia, the free encyclopedia

so ni mitandak tu ya simu iliita 4g lakini chombo husika cha standard walikataa sio 4g
 
Nasikia kuna wakorea waliwahi kufungiwa ndani wakambiwa hamtatoka mpaka muwe mmekuja na 6G ambayo mtu aki browse ni kama anasearch file kwenye computer yake tu!
Rais wao hataki kabisa mambo ya system iko chini na blah blah kama hizo! Hongera wakorea!
 
tafuta internet ya simbanet na wewe usuuze macho kidogo, hata kwa dakika 2 tu.
 
Back
Top Bottom