540............

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
mwenye kujua profile ya kampuni tafadali atoe dataz

1wana ndege ngapi?
2 za aina gani?
3wamiliki ni akina nan?
na habari zingine kuhusu hii kampuni ya ndege ya 540...
 
I have accurate information but sitoi n'go!
Ukitaka nilipe, tena upfront.
kuna mtu nilimsaidia kwa deni sasa imekua shida kulipa!
 
mwenye kujua profile ya kampuni tafadali atoe dataz

1wana ndege ngapi?
2 za aina gani?
3wamiliki ni akina nan?
na habari zingine kuhusu hii kampuni ya ndege ya 540...

The Boss, kwani hawa hawana Website?
Hebu jaribu Ku-google basi......................
 
540 airline is based in Nairobi, so far wana-operate in Tanzania, South Sudan, Burundi, Uganda na Kenya in total wana ndege 10 za aina tofauti such as ATR 72s, Beech Craft, Bombardier, Fokker, Embraer, owners ni Neil Steffen na Don Smith

Zile wanazotumia TANZANIA ni CRJ model za Canadair.......Raila ni mmoja wa wamiliki
 
Zile wanazotumia TANZANIA ni CRJ model za Canadair.......Raila ni mmoja wa wamiliki

This is what I like in Kenyan leaders, you can easily tell who owns what!!

Tanzania you have the likes of RA who runs the economy yet they don't own any business. All what we see is front desk managers kama Robert Kisena/Simon Group na Umiliki wa UDA.
 
Omary Manundu amebobea kwenye sekta ya uchukuzi kadharia wakati hawa jamaa 540 wamebobe kivitendo. Vivyo hivyo kwa ****** ana sanduku la Ph D za nadharia wakati Kagame anaimplement vitu nchi inasonga mbele!
 
Back
Top Bottom