HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 108
Hizi data ametoa wapi? Kuna research imefanyika ikatoa hayo matokeo?
Wametumia kiungo chao, wewe inakuuma nini? Tumia na wewe cha kwako upate ajira nzuri zaidi ya hizo walizopata wao.
i hope my wife to be is not among those...
Hizi data ametoa wapi? Kuna research imefanyika ikatoa hayo matokeo?
Kwa upande mwingine hii takwimu ya kuwa 'karibu' nusu ya waajiriwa wanawake wametoa rushwa ya ngono naona kama inawaeleza wanawake wasioajiriwa au walio vyuoni kuwa 'ajira' kwa kiasi kikubwa zinapatikana baada ya kuhonga ngono...na hivyo kuwaandaa 'kiasikolojia' kutoa hongo hiyo!
Ni mtazamo wangu tu...
Nadhani huo utafiti unamapungufu, Asilimia 40 ni ndogo sana inaweza kuwa hata more than 90%
Wametumia kiungo chao, wewe inakuuma nini? Tumia na wewe cha kwako upate ajira nzuri zaidi ya hizo walizopata wao.
Mkuu umeenda mbali sana, binafsi nawafahamu wadada wengi tu waliokuwa vichwa madarasani huku wanaume wakifuata nyuma. so do not generalizeWanawake wengine anatumia hiyo kama chombo cha kufaulu kwenye interview kwani hata huko vyuoni walifaulu kwa kugawa ngono.
Kuna mtu amesema wao huwa wanasema 'Its all about positioning yourself strategically' nafikiri mawazo na fikra zaidi ya hapo zitakuwa hazipo zaidi ya kuwaza kutumia kiungo chake kama means ya kupata a desired jobKwa upande mwingine hii takwimu ya kuwa 'karibu' nusu ya waajiriwa wanawake wametoa rushwa ya ngono naona kama inawaeleza wanawake wasioajiriwa au walio vyuoni kuwa 'ajira' kwa kiasi kikubwa zinapatikana baada ya kuhonga ngono...na hivyo kuwaandaa 'kiasikolojia' kutoa hongo hiyo!
Ni mtazamo wangu tu...
Kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na shirika moja la kujitegemea hapa nchini, unaonyesha asilimia takriban arobain (40%) ya wanawake walio na ajira rasmi wamezipata kazi hizo kwa kutoa au kulazimishwa Rushwa ya ngono.
Ndugu wanaJF kwangu hizi habari nimezipokea kwa masikitiko, nawashangaa dada zangu kwa kujirahisisha kiasi icho ukizingatia kuwa wengi wao wanavigezo na ni wasomi wa viwango vya juu kielimu, nawalaumu kwa kushindwa kujithamin kiasi cha kutoa mapenz kwa nia ya kupata kazi, huku ni kujishushia thamani ya utu wao.
Kwa upande mwingine napenda washauri wanasheria pamoja na maafisa utumishi wote kuja na mbinu au mkakati utakaowezesha kuwabaini maafisa kazi wote waombao rushwa hizi za ngono, pia wawachukulie hatua kali za kinidhamu. PCCB PIA WANAHUSIKA KTK UFUMBUZI WA TATIZO HILI.
Ndugu wanaJF nawasilisha!