3d Plate numbers

Je unapenda gari lako kuwa na muonekano mzuri na wa kijanja unaonendana na wakati wa sasa ?

Kama ndivyo karibu ofisini kwetu tukutengenezee 3d plate numbers no za kisasa zenye kuongeza mvuto na thamani ya ndinga yako, kwa Gharama ya Tsh 50,000/= ukija na plate no yako na Tsh 100,000/= kwa plate no mpya.


Tunapatikana Kariakoo, Kibambawe na Jangwani Street
Mawasiliano 0713 979798
View attachment 2535958
View attachment 2535960
View attachment 2535964View attachment 2535965
Hapo umesema mtu akija na plate no.yake hii inakuwaje,ni plate no.isiyo na number kabisa au hata kama ina namba mnaweka hiyo 3D...?
 
Hapo umesema mtu akija na plate no.yake hii inakuwaje,ni plate no.isiyo na number kabisa au hata kama ina namba mnaweka hiyo 3D...?
Yenye no ndyo tunaweka mkuu, hiyo nimesema kwa wenye gari mpya zisizo na no au wenye plate no zilizo na chakaa na kuhitaji kuweka mpya
 

Attachments

  • IMG-20230303-WA0010.jpg
    IMG-20230303-WA0010.jpg
    104.9 KB · Views: 33
  • IMG-20230303-WA0009.jpg
    IMG-20230303-WA0009.jpg
    93.6 KB · Views: 38
  • IMG_20230228_172113.jpg
    IMG_20230228_172113.jpg
    915.7 KB · Views: 36
Tunashkuru kwa wale ndugu zetu kutokea hapa wanaotupigia simu na kufanya nao kazi, karibuni sana wateja wetu zaidi from jf.
 

Attachments

  • IMG-20230314-WA0005.jpg
    IMG-20230314-WA0005.jpg
    35.6 KB · Views: 32
Wakuu karibuni sana, Mungu ni mwema kazi inaendelea.
 

Attachments

  • e9682748c73749c0bc456914129d8640.jpg
    e9682748c73749c0bc456914129d8640.jpg
    54.6 KB · Views: 18
  • c254a33a046c42c9b4ace0dda050111b.mp4
    2.7 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom