3d desk top.

nurbert

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,887
427
jaman mm leo katika kuperuz in different blogs nkaona hii kitu. Kuna anae ifahamu hii !
[okkomadewal.com/2012/06/change-your-desktop-as-3d-shock-desktop.html?m=1]

:ranger:
 
kama ulikuwa mtumizi mkubwa wa xp siku za kale, utakumbuka program mmoja iliyoitwa visual styles ambayo ilipromise kubadilisha windows yako na kuingarisha zaidi (siku hizo bado 7 na aero themes ilikuwa unheard of) na hii hapa 3d desktop ni sawa tu na visual styles ya siku hizo. itakupromise windows ya maajabu na mwisho wa siku unabaki na ram hogger. trustme, acha windows yako ibaki ilivyo right now
 
Computer ya kazi ndyutaiweka namna hiyo?....kama hauna kazi ndy unaweza kuwa unatafuta muonekano na madoido, hasa vijana na watoto!
 
Anhaa nmekuelewa brother
 
Computer ya kazi ndyutaiweka namna hiyo?....kama hauna kazi ndy unaweza kuwa unatafuta muonekano na madoido, hasa vijana na watoto!

Xo unataka kusema hii k2 n nzuri kwa masharobaro ?
 
Back
Top Bottom