Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,289
- 22,590
So far Trump anaongoza ubungo kinondoni sijajua kigambni na temeke kamawatampaHillary anaongoza kwa asilimia ngapi mpaka sasa?
So far Trump anaongoza ubungo kinondoni sijajua kigambni na temeke kamawatampaHillary anaongoza kwa asilimia ngapi mpaka sasa?
Hillary 268 kwa Trump 204 bado mbili mama atangazwe...Hillary anaongoza kwa asilimia ngapi mpaka sasa?
Uchaguzi wa mwaka huu watu wanaoishi huko, wasio wazawa na walio na uraia wa USA hawatamsahau Trump.
Trump .... Japan, korea, ujerumani, zijilipie gharama za kulindwa, mexico nao kiroho kiko juu juu ..hata baadhi ya Nchi za ulaya hazimtaki kabisa huyu jamaa ... Dunia italipuka kwa furaha Clinton akishinda ama kweli Trump kaitetemesha dunia
You can think hizo nchi zinafaidika sana kwa kuwa protected na US lakini ukweli ni US ndio inayofaidika zaidi ila Trump kaitumia hiyo kupata kura tuu kwa sababu watu hawaangalii details ya hiyo mkikataba,and not easy for President alone kuvunja Treaty kama hizo ambazo zimewekwa na CongressTrump .... Japan, korea, ujerumani, zijilipie gharama za kulindwa, mexico nao kiroho kiko juu juu ..hata baadhi ya Nchi za ulaya hazimtaki kabisa huyu jamaa ... Dunia italipuka kwa furaha Clinton akishinda ama kweli Trump kaitetemesha dunia
Indiana and Kentucky ni solid RED na Trump will win 100% so weka hizo kwenye Trump columnTrump anaongoza ktk majimbo matatu ya Indiana,Hampshire na Kentucky ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa dhidi ya wapinzane wake 3