2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Vyombo vya habari vya nje kama VoA, BBC DW vinatoa habari kwa njia ya kukupa fununu nani atakuwa mshindi, aina yao ya habari unaweza hisi zinatayarishwa na mtu mmoja..."Rais wa kwanza mwanamke kuiongoza marekani..." wanachomeka kiufundi sentensi hiyo...ndio maana Trump anawalalamikia wana habari...
 
Unachosema ni kweli kabisa na hata baadhi ya wazawa wakiwemo wazungu hawataki kabisa huyu aingie WH kutokana na ubaguzi wake mkubwa aliokuwa nao na kauli zake na matendo yake yanathibitisha kwamba ni mbaguzi.

Uchaguzi wa mwaka huu watu wanaoishi huko, wasio wazawa na walio na uraia wa USA hawatamsahau Trump.
 
Katika nchi za Ulaya nadhani ni Russia tu ambayo ingependa kumuona Trump akiibuka kidedea sijaisika nchi nyingine ya Ulaya ambayo inamfagilia huyu.

Trump .... Japan, korea, ujerumani, zijilipie gharama za kulindwa, mexico nao kiroho kiko juu juu ..hata baadhi ya Nchi za ulaya hazimtaki kabisa huyu jamaa ... Dunia italipuka kwa furaha Clinton akishinda ama kweli Trump kaitetemesha dunia
 
161108-voting-election-denver-311a_db0c7a315804807f0cb587afb8b59730.nbcnews-fp-920-440.jpg

 
Senate Races:

Democrats leading in 34 and GOP leading in 30, GA is leaning to Trump.
 
Trump .... Japan, korea, ujerumani, zijilipie gharama za kulindwa, mexico nao kiroho kiko juu juu ..hata baadhi ya Nchi za ulaya hazimtaki kabisa huyu jamaa ... Dunia italipuka kwa furaha Clinton akishinda ama kweli Trump kaitetemesha dunia
You can think hizo nchi zinafaidika sana kwa kuwa protected na US lakini ukweli ni US ndio inayofaidika zaidi ila Trump kaitumia hiyo kupata kura tuu kwa sababu watu hawaangalii details ya hiyo mkikataba,and not easy for President alone kuvunja Treaty kama hizo ambazo zimewekwa na Congress
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Trump anashinda Kentuky na Indiana na Hillary anashinda Vermont, hakuna surprise hapa.
Trump ana Electoral votes 19 na Hillary 3.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Senate Races:

Democrats leading in 37 and GOP leading in 31.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom