2015 Wenje akagombee Rorya na Adam Chagulani agombee Nyamagana

hv nyie huyo adam mnamjua au mnamsikia igoma imemshnda nyamagana ataiweza? anaongea sawa lakn hatumii busara tumepigana kupata udiwan amepata tu akahama na igoma kaenda kupanga nyakato mara kashkwa na mke wa mtu.ajichunge sana fika stend igoma uone ilivyokuwa 2010 na leo, sa hv hamna hata bendera moja ya cdm cjui kawafanya nn wanaigoma

Mkuu inawezekana ni kwel huyo bwana Chagulani ana mapungufu lkn kwa kweli huyu kijana ametufanyia mengi sana igoma, mwez uliopita tumezindua ofisi ya chama ya kata pamoja na kufungua tawi ktk stend ya igoma.
 
mawazo mazuri lakini tupime mazuri ya wenje uchaguzi ujao.lakini mimi ni mzaliwa wa rorya nimekaa sana rorya,ila wenje ameonesha njia ila kwa wananchi wengi wa rorya hafamiki sana.kama wana rorya wakimkubali ni vema.ila kwangu mimi nngefurahia sana kama mabere marando angegombea 2015 kwa sababu anafahamika sana na wananchi bado wana kiu naye kuchukua jimbo tena sana.

erokamano omera, wazo sio baya,sisi wanarorya tumejipanga jimbo liende chadema.nazani wazo la kumsimamisha marando au wenje chama kitaifanyia kazi.
 
wadau nafikiria kijitosa jimbo la nyamagana ukizingatia ni mzawa wa hapo enzi hizo linaitwa jimbo la mwz mjn tuombeane uzma.
 
Huyu chagulani ana siasa za chuki na majungu,kuna wakati kule facebook kwny kagroup flan alikuwa anampiga majungu Mhe.wenje kwa uwazi hadi nikamshangaa,kumbe analitaka jimbo la nyamagana,hatukupi ng'o,bora lirudi ccm,wewe si mtu mzuri hata kidogo!WENJE FOR NYAMAGAMA..
 
Acheni kumdanganya Wenje! Haweza kupata Ubunge Rorya kwa jinsi ninavyowafahamu wananchi wa Rorya. Tufanye utafiti kwanza kabla ya kuhitimisha hoja. Mambo ya Rorya yaacheni kwa watu wa Rorya wenye uzoefu na siasa za Rorya.
 
Acheni kumdanganya Wenje! Haweza kupata Ubunge Rorya kwa jinsi ninavyowafahamu wananchi wa Rorya. Tufanye utafiti kwanza kabla ya kuhitimisha hoja. Mambo ya Rorya yaacheni kwa watu wa Rorya wenye uzoefu na siasa za Rorya.

Omera wuod ndege Aduogo, unataka kwenda kugombea? kwanini swala la Wenje unalipinga sana? CHADEMA ni chama makini, hivyo lazima watafanya utafiti hivyo katk hilo shaka ondoa.
 
Kwa hiyo mmeishajua kuwa Wenje kushinda kipindi kijacho ni ngumu, mnataka kumpeleka Rorya.

Ni kweli Mwanza siku zote mbunge pale ni kipindi kimoja tu mbunge aliyekaa muda mrefu ni mmoja tu Paul Bomani, hakaangushwa na John Mabiti, alikaa kipindi kimoja baadae wakamchagua Stephen Kazi, alikaa kipindi kimoja, wakamchagua Marsha nae alikaa kipindi kimoja.

Na ninavyowajua watu wa Rorya hata siku mmoja hawawezi kupelekewa mbunge kutoka jimbo lingine.
 
Back
Top Bottom