2015 wagombea wakiwa Dr. John Pombe Magufuli vs Dr.Wilbrod Slaa utamchagua nani?

Status
Not open for further replies.
hatuwezi kujadili hoja, docta slaa alishasema hagombei tena endapo atakosa urais 2010, sasa tutachangiaje kitu ambacho we r sure it cant happen???
 
Simple answer in form of a question. Do we need change? I bet 70% of Tanzanians need change. Change is seeing sisiem go. Magufuli is just a drop in de ocean. If anythin he's a devil in a wolf's skin. On moral grounds he would 've resigned from de dirty party had he been a true patriot. Regea Marehem Mwanawasa alivyojiuzuru kutoka serikali fisadi ya Chiluba. Green has to go hata Mwakyembe akiwataka kuwa rais.
 
hatuwezi kujadili hoja, docta slaa alishasema hagombei tena endapo atakosa urais 2010, sasa tutachangiaje kitu ambacho we r sure it cant happen???
Dr Slaa anafaa. Uchaguzi uliopita hakushindwa isipokuwa alidhulumiwa tu. katiba ibadidilishwe ili tumpe ushindi wa nguvu. Tumechoka na ccm.
 
Nyumba ikioza sana unafanya nini? Unaibomoa unajenga nyumba mpya... maana na technolijia itakuwa tayari ni mpya... uking'ang'ania kuirekebisha itakuulia ndani sikumoja
 
Magufuli ni mtendaji mzuri lakini yuko kwenye Chama kibovu ambacho hawezi kukibadili malengo yake ya kunyonya nchi! Na akidiriki kuingiza maadili ya nchi ndani ya CCM watamkolimba apotee kabisa. Hivyo watu wenye akili hatuwezi kumpa kura, kwanza kwa kupenda aendelee kuishi pili chama chake kitoke madarakani kwani kimeoza na kinanuka!

Dr. Slaa ataendelea kuwa chaguo la watanzania kwa kuwa yeye mwenyewe ni mzalendo wa kweli na CHADEMA haijachafuka bado, inawatu makini na wakipewa nafasi watairudisha nchi kwenye malengo ya waasisi wa Taifa hili.
 
hatuwezi kujadili hoja, docta slaa alishasema hagombei tena endapo atakosa urais 2010, sasa tutachangiaje kitu ambacho we r sure it cant happen???

kauli za wanasiasa hizo,usiziamini sana.Sumaye alisema siasa basi,lakini 2015 ikifika,utashangaa naye anakwenda kuchukua fomu
 
Magufuli ni mtendaji mzuri lakini yuko kwenye Chama kibovu ambacho hawezi kukibadili malengo yake ya kunyonya nchi! Na akidiriki kuingiza maadili ya nchi ndani ya CCM watamkolimba apotee kabisa. Hivyo watu wenye akili hatuwezi kumpa kura, kwanza kwa kupenda aendelee kuishi pili chama chake kitoke madarakani kwani kimeoza na kinanuka!

Dr. Slaa ataendelea kuwa chaguo la watanzania kwa kuwa yeye mwenyewe ni mzalendo wa kweli na CHADEMA haijachafuka bado, inawatu makini na wakipewa nafasi watairudisha nchi kwenye malengo ya waasisi wa Taifa hili.

wakiweza kumkolimba Magufuli,watashindwaje kumkolimba Slaa?acha uoga na imani haba wewe!
 
Ccm ni ccm tu hata awe pombe magufuli hawezi kuleta mabadiliko yoyote. Siwezi kutumia muda wangu kwenda kwenye kituo cha kupigia kura eti nimpigie mgombea wa ccm. Ccm imezeeka, imevimbiwa madaraka, imechoka, imekinai, inatia kinyaa, sipendi hata kuisikia. Wapenzi wa ccm wanisamehe kwa hilo.
 
Namshauri sana Pombe asigombee hata akiombwa akatae kabisa maana uozo uliopo pale atapata shida sana kusafisha atajikuta anajuta baada kuwa shujaa hata wanaweza kumuuaa sababu ya fitna aachanane na urais kwa ccm awape hao wanaojiandaa hata kuua ili wapate hiyo nafasi!!!
 
Kwani magufuli ya mlango wa john, kawatetea vipi watanzania? Mbona yuko kimya kuhusu dowans? Mbona bado yuku chooni ccm? Mbona bado anatembelea magari ya kifahari tena ya garama kubwa? Mbona bado anajaribu kujikosha kiutendaji ili watanzania wamuone nimzuri? Huyu magufuli wa geti la john hana lolote jipya kwa watanzania nikibaraka wa ccm. Chadema daima chagua yeyote toka chadema uone mabadiliko ya kweli.
 
We need a complete change, we need to overhaul the system completely.. i have deep respect for the Hon Magufuli ila tatizo hata ukimchagua, atawaweka watendaji gani kwenye serikali kama wote CCM asilimia kama 70% ni akina Tambwe hizza. Manaake hata mataani jamaaa wengi hawako objective kazi kutetea chama UCCM. we need a change!!!, complete change... wakae nje for a while wajue watu wako serious. ili mtu akiingia ajue akifanya ushenzi ni nje!!! au ashitakiwe kwa madudu aliyoyafanya na akifanya vizuri asifiwe. :A S-fire1:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom