2015 nachukua jimbo la Ngeleja!

ue na fedha sio chini ya million 200 za rushwa kwa sababu mwenzako anazo hizo na atazitumia kuhakikisha anapigiwa yeye kura:smiling:
nitaanza na mungu na nitamaliza na mungu, pesa next nataka kuwakomboa wasukuma wenzangu ni muda mwingi sasa wako kifungoni mwa ma CCM.. peoples power na M4C zitatumika.
 
jitambulishe kwenye chama uweke profile yako sehemu husika upite kwenye scanner utajulikana hapa kwenye jf nani anakujua
 
nitaanza na mungu na nitamaliza na mungu, pesa next nataka kuwakomboa wasukuma wenzangu ni muda mwingi sasa wako kifungoni mwa ma CCM.. peoples power na M4C zitatumika.

Kila la heri Home Boy,nitakupa support kwa hali na mali! Huyu Gamba Ngeleja sidhani kama ana ujasiri tena wa kugombea,kuondoka kwa Tabasamu kumeivuruga CCM na sasa kuna sintofahamu!
 
dawa ni ulinzi wa kura tu! naomba cdm tujipange kulinda 2015. na mimi napanda kwa maji marefu 2015. atanikoma
 
Back
Top Bottom