2012 kili music awards nominees

Bado tuzo zina kasoro nyingi;
1.Inachekesha msanii chipukiz kumuweka Beatrice,Recho halafu akakosekana dogo Aslay.
2.Lamar kutowekwa kwenye category ya uproducer bora.
3.Mziki wa hiphop kupewa nafasi ndogo,only two categories.
4. Mziki wa Rege kuwekwa kwenye rnb eg Usiniache wa Hemed.


yah jamaa wa kili naona hawaingizi nominee mwenye miaka chini ya 18 sababu ya udhamini wa Pombe,
 
mambo ya umri kaka, kisheria za kili pombe kwa watoto no, pia gospel nayo hivyo hivyo. Kuimbia Pombe na Mungu wapi na wapi
 
Yule aliyekwapua tuzo tano mwaka jana(20%) safari hii imekuaje? Au hajafuata masharti yao?
 
Kama tunataka mzik wabongo uendelee.tusiwe naupendeleo kwan kunawasinii wakal ambao wanasitaili kuingzwa kwenye categories mblmbl.nasio kuangalia majinaaa.kama upepooo.niyule toka pand za mwanzamwanza sana88888
 
Back
Top Bottom