Mwaka huu umeanza vizuri na dalili zaonyesha CCM na CUF vifo vya kisiasa vitazidi kuwaandama. Ni juu ya wapanga mikakati wa CDM kutumia fursa ipasavyo, na kujiwekea mazingira mazuri ya kuchukua serikali za mitaa 2012 ambako ni msingi wa kuchukua dola 2015.
Masuala haya ya msingi yatazidi kuwatenganisha wapiga kura na CCM:
1. Hali ya uchumi kuzidi kudorora na wananchi kukata tamaa
2. Malumbano ya mara kwa mara miongoni wa vigogo wa CCM juu ya kuwania URAIS 2015
3. Suala ya posho kwa wabunge
4. Sisi wakazi wa Kigamboni kukerwa na kauli ya Magufuli juu ya kututaka tujifunze kuogelea.
5. Zoezi la kuhamisha wahanga wa mafuriko litaleta mtafaruku mkubwa na wapiga kura kuzidi kuichukia CCM
Hivyo kuna dalili tosha wapiga kura kuzidi kuichukia CCM na kuchangua chama mbadala. Msingi wa wote ni CDM kutokuwa na migogoro