Uko juu aiseee.... Hongera saana. Inapendeza vijana wanapokua na mafanikio.... Hopefully huna mpango wa kuongeza nyumba ndogo....lol
R' na Roulette mmenifanya niwange peke yangu usiku mzima nika log off ndo mmekuja? aaarrrrggg! lol:alien:
AD nyumba ndogo naiogopa kama ukoma. Sina mpango wa kuiongeza nyumba ndogo zaidi ya kupigania mafanikio ya nyumba kubwa na watoto wangu. Hiyo itakupa raha ya kuitwa baba na sio dingi au baba mlevi.
Vile vile ukipigania maendeleo ya familia yako unapata ile raha ya kuona watoto wanakuwa wakiwa na raha ya kuwa na baba anayewajali
Pia nina mpango wa kuongeza zaidi upendo kwao wajione nao walistahili kuwepo duniani kwa wakati muafaka.
Kushikamana na Mungu zaidi na zaidi ni malengo yangu ya mwaka huu unaokuja pia.
RR naona alikuwa anahisi bado asubuhi haijafika wakati ilikuwa kabisa ndege washaanza kuwaamsha watu