AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
:flypig:......Habari wana JF.... Hopefully you are all well and Good.....:flypig:
Ni kawaida mwanadamu hasa unapokua mtu mzima na responsibilities kuhakikisha kua one has done walau something productive ama worthwhile kabla mwaka huajaisha, ili ikifika mwisho wa mwaka wajivunia kwa kufikisha malengo ama wajizodoa kwa kushindwa. Sijui kwa wenzangu ila mie kwa upande wangu kila nikipanga jambo/mambo yakufanya, mara nyingi most hugeuka kabisa nje ya matarajio... Mara uchemke! Mara matatizo kama misiba, mitaji kuyumba na vikwazo vingi kibao!
However 2011 kwangu has been a good year.... One of the Great years of my life. Mengi niliponga yameenda tofauti BUT ni mengi ambayo sikua na idea nayo kua yangetokea na kunifurahisha..... God and life itself has treated me fairly and a lot of wonderful surprises and fulfilling events and stuffs..... "NAMSHUKURU MUNGU"....
Among the few i have been able to achieve the following.....
- Nimetimiza nusu ya Umri wa kuishi mwanadamu nikiwa na afya njema.
- For the first time in four years nimeweza sherekea birthdays za wanangu waoote nami nikiwepo.
- My love life is great and constantly rejuvinated.... I feel more of a woman as days go on.
- Nimekua exposed to JF. Hapa ni mambo lukuki nimepata.... Great Friends.... More Networked..... Intensive Knowledge... Entertainment.... Great discussions... The list goes on.
Kupanga kwangu ya 2011 na kutotokea kama matarajio yangu hayanikatishi kupanga tena ya 2012; Hivo basi mwaka ujao (Mwenyezi Mungu akinipa Uzima) the following ndio mipango yangu....
- Niache uvivu na nijitume kufanya mazoezi kupunguza kidogo weight.
- Kuongeza elimu walau ki course chochote CV ipendeze cheti kimoja ukutani kipo lonely.
- Tafuta organisatiion inayo gusa jamii moja kwa moja na kujiunga nayo; walau nami nijivunie najitolea....lol
- Badilisha comp na kununua simu nzuri kidogo maana mchina kanichosha.
- Get pregnant .... AGAIN. Baba watoto kachachamaa....
Fellow JF Members.... Upande wako HOW WAS 2011? (Good OR Bad?) na What are your plans for 2012? GOD Willing?
AshaDii.