2004 GX 110 bei ya kutupaa!

dullymo

Senior Member
Aug 21, 2009
105
5
toyota mark 2 gx 110
2004 model
metalic color
1990CC

75,000 odometer

sports rims, CD changer, TV, airbag, ABS, PS, PW,

bumper iligongwa kdg but imerudishiwa vizuri na ukitaka unawekewa mpya kabisa,

BEI tsh 9,000,000 tu!!
hurry up! wa kwanza ndo ataouziwa.

contact
0713 744 144 abdul
 

Attachments

  • Photo-0238.jpg
    Photo-0238.jpg
    257.7 KB · Views: 365
  • Photo-0236.jpg
    Photo-0236.jpg
    251.8 KB · Views: 192
kaka fidel kufulia kubaya wangu we wacha 2 ukiona hivyo ujue maji ya shingo
 
...Hii Premio ya 6m iko katika hali gani? ya mwaka gani? unaweza kuweka picha zake hapa??
hiyo premio ni ya mwaka 1999 but specs zake hadi nikifika home nitakuchekia pamoja na kukupigia picha.. vp ulikuwa unahitaji boss wangu?
 
Mkuu napanda mpaka 7m hapo vipi??

kama upo serious boss wangu nitakupa kwa 8.7 lakini hapo utafanya repair mwenyewe. but hiyo repair yenyewe sipo muhimu sana coz kwa haraka haraka hata huwezi jua kama ina scratch. fanya reference kweny pic then ndo utaligundua hilo.
 
si kwamba naharibu lakini muuzaji awe mkweli kidogo .GX 110 zina model mbili hii na ya hapa zilitoka mwisho 2003 kwa hiyo gari ni ya 2003 au chini mpaka 2000.ninaongea hivyo sababu ni 2004 model.aliyeoffer 8.7 katoa offer bomba mzee angalia isije baadae ukajikuta unauza bei si yenyewe.yalinitokea wakati nauza GX 100 yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom