1st date: things not to do!

It still work kaka, kazi mnayo nyie mnaofukuzia kina 'Beyonce', mi bado nasarandia kuku wa kienyeji bwana, mtoto ukimhonga buku 10 tu anakuambia "aii wee, miela yote hii si ungepeleka nyumbani kwetu ukaifanya mahari?" LOL!

ahhahahahahha ..si mchezo wakina beyonce kila kona..story za ghetto hazipandi kwa hawa watoto!! hahaha
 
LOL!....enzi zako zimeshapitwa na wakati. Siku hizi ukitaka kumuelekeza Ghetto siku ya kwanza ili ukananihii ;) basi anakukimbia na hutamuona tena

Nakubali Bubu- zama hizo zimepitwa lakini bado unaweza ukamuelekeza aje ghetto muwatch movie, mpige story au kuskiliza music afu unajipinda (hata kukopa!) unanunua kachupa kamvinyo au tubia kadhaa, akilegeza jicho tu kaisha!!!!
 
...ushalala na wangapi ndo utata namba double digits zinageuka kuwa 3 or 4. ahahahahaha

...enheee, unaona hapo? ukijifanya 'commitment guy' eti mmoja au wawili anakushangaa "kheee? Umri huo?"

ukijibu kwa msisitizo "haki ya mungu vile hawajazidi kumi", anakuona 'pleya'
 
...Hivi ni kwa nini waume woote yaani nianze kuhesabu ukienda date na mtu, kakuinvite dinner, date inakwenda vizuri sana... mbele ya chopsticks na kadhalika, dume linaanza.. oh oh sijui twende kwangu. mmmmmmmmmmm.. sasa hayo ya kwako date ya kwanza! ni ya nini???

...wajua kwanini shishi,

kuna wale unaowapa ofa ya kuwatoa out halafu naye anakuja na shoga'ake!... matokeo yake usiku mzima domo linakuwa limejaa gundi!

akija peke yake halafu usipotumbukiza swali la vipi, kwangu au kwako?, kuna wanaosema "...janaume lenyewe lioga hata kuuliza, sijui shoga?" .

Sijui kwanini % kubwa ya wanawake wa kileo wanapenda wanaume wakorofi korofi, ukijidai Gentleman utachunwa tena, akikuonea huruma huipati date nyingine.
 
Ndo manake ukiwa thug thug hivi mademu wanakufata........imebidi nibadilike imebidi niache useminari
 
Nakumbuka zamani kuna mshkaji wangu alikuwa karudi toka state akapata kitoto kimoja cha sekondari, basi akawa analeta malove duvey na tamthilia kwa sana eti hataki kukigusa hadi kimalize six! jamaa akawa anaishia kupiga matouch na madenda kwa sana,mitoko ya dinner na movie miiingi, siku ya siku akajagundua kuwa wahuni wanabanjuka na kidemu chake kama wendawazimu!! alipagawa kichizi, toka siku hiyo yeye 'ugentleman' hautaki tena.
 
tehe tehe tetetehe mkuu hivi viumbe hutakiwi Isidingo nyingi vinadharau wewe kauzu mguumu unampeleke peleka mara unampeleka kwa masela wanakokula msuba sometime unampigisha mguu toka mwenge mpaka K'nyama...
angalia mademu wakali wengi hawafagilii Isidingo nyingi.....kile kifaa Uwoya ukiona jamaa aliekuwa anakokota hutaamini....
 
Hii 1st date tunayojadili ni ya nyumbani bongo na dada zetu kina Tabu na Bahati au deti na watu wenye tamaduni tofauti na zetu kama ughaibuni?
Kama na dada zetu bongo nakubaliana na wengi kuwa hakuna haja ya kurembaremba na kugeuzwa mbuzi manake ndiyo mazoea yetu,unapomtaka demu basi jambo la kwanza ni ngono halafu biashara nyingine baadaye na hata wengi wao wanaelewa hivyo!
Kwa tamaduni za wengine atakushangaa sana na hutamuona tena kama siku ya kwanza tu eti unataka aje kulala kwako au ukalale kwake(unaomba mavituzz).Date zao ni msoto na bila kutumia juhudi za ziada basi utaula wa chuya hata mwaka mzima sanasana utaishia kupiga denda na hugz(lakini ieleweke kuwa sizungumzii mawinga!),nazungumzia demu mwenye heshima zake.Kwasababu wengi wao wanataka kwanza akufahamu vizuri na akupende halafu ndiyo umvue chupi.
Sasa hizi date ndiyo hizo zenye sheria sheria zao sijui siku ya kwanza usiulize umri,usichokonyoe nyama kwenye meno mbele yake,usiinamishe kichwa chini wakati wote wa maongezi,usimgombeze waiter kama amechelewesha msosi nk nk nk
Tena wana shule kabisa uki google dating education basi watakuletea maupupu yote!!!
 
Eh! kula vitu kwanza mengine baadaye...LOL! Wabongo ndiyo tulivyo!!! Inategemea na calibre ya mwanamke kama anajiheshimu basi sahau kula vitu siku ya kwanza lakini kama na yeye anachojali ni uroda tu basi unaweza kufanikiwa. Pia wasomi hili la kumpeleka ghetto siku ya kwanza sahau maana they would like to be treated with respect not like changu doa, lakini kama una tabia ya kuokoteza vicheche tu basi unaweza ukajilia uroda siku ya kwanza. Na mwanamke anayetoa uroda siku ya kwanza ni lazima ujiulize mara mbili mbili je, ni tabia yake kutoa uroda siku ya kwanza!? Maana hapa uwezekano wa kugusa umeme ni mkubwa sana, usiniambie utatumia condom maana huwa zinapasuka.

Niliwahi kuona discussion kama hii kwenye forum ya Waamerika weusi wengi wao walidai kwamba kipindi cha miezi mitatu kinaweza kukubalika kabla hujapewa uroda lakini kikizidi hapo basi unaweza kuingia zako mitini. Na wengi walikuwa wanawaogopa Wanawake ambao wako tayari kutoa uroda siku ya kwanza hali kadhalika wanawake wengi nao kuwaogopa wanaume wanaotaka uroda siku ya kwanza.
 
.... "things not to do" and NOT "things to do."

.... don't do things you shouldn't do!!
 
...
Kama na dada zetu bongo nakubaliana na wengi kuwa hakuna haja ya kurembaremba na kugeuzwa mbuzi manake ndiyo mazoea yetu,unapomtaka demu basi jambo la kwanza ni ngono halafu biashara nyingine baadaye na hata wengi wao wanaelewa hivyo!

...oookkkkeeeyyyy!,

Kwa tamaduni za wengine atakushangaa sana na hutamuona tena kama siku ya kwanza tu eti unataka aje kulala kwako au ukalale kwake(unaomba mavituzz).Date zao ni msoto na bila kutumia juhudi za ziada basi utaula wa chuya hata mwaka mzima sanasana utaishia kupiga denda na hugz(lakini ieleweke kuwa sizungumzii mawinga, nazungumzia demu mwenye heshima zake.Kwasababu wengi wao wanataka kwanza akufahamu vizuri na akupende halafu ndiyo umvue chupi.
Sasa hizi date ndiyo hizo zenye sheria sheria zao sijui siku ya kwanza usiulize umri,usichokonyoe nyama kwenye meno mbele yake,usiinamishe kichwa chini wakati wote wa maongezi,usimgombeze waiter kama amechelewesha msosi nk nk nk...

...pheeeeewww! ...darasa la 'kumla kuku wa kienyeji na kuku wa kizungu' limetulia!
 
...oookkkkeeeyyyy!,

...pheeeeewww! ...darasa la 'kumla kuku wa kienyeji na kuku wa kizungu' limetulia!

Ah! Kumbe!!!! you all have been blacklisted. And I am going to warn all my sistas. LOL

Mbu hata wewe pia! nasikitika sana!!
 
Hii 1st date tunayojadili ni ya nyumbani bongo na dada zetu kina Tabu na Bahati au deti na watu wenye tamaduni tofauti na zetu kama ughaibuni?
Kama na dada zetu bongo nakubaliana na wengi kuwa hakuna haja ya kurembaremba na kugeuzwa mbuzi manake ndiyo mazoea yetu,unapomtaka demu basi jambo la kwanza ni ngono halafu biashara nyingine baadaye na hata wengi wao wanaelewa hivyo!
Kwa tamaduni za wengine atakushangaa sana na hutamuona tena kama siku ya kwanza tu eti unataka aje kulala kwako au ukalale kwake(unaomba mavituzz).Date zao ni msoto na bila kutumia juhudi za ziada basi utaula wa chuya hata mwaka mzima sanasana utaishia kupiga denda na hugz(lakini ieleweke kuwa sizungumzii mawinga!),nazungumzia demu mwenye heshima zake.Kwasababu wengi wao wanataka kwanza akufahamu vizuri na akupende halafu ndiyo umvue chupi.
Sasa hizi date ndiyo hizo zenye sheria sheria zao sijui siku ya kwanza usiulize umri,usichokonyoe nyama kwenye meno mbele yake,usiinamishe kichwa chini wakati wote wa maongezi,usimgombeze waiter kama amechelewesha msosi nk nk nk
Tena wana shule kabisa uki google dating education basi watakuletea maupupu yote!!!

mdada yeyote anayejiheshimu hawezi kukubali kuliwa uroda siku ya kwanza, haijalishi ni mmbongo au wa huko wapi sijui...na nyie kaka zetu mnaotaka ngono kama sehemu ya introduction...shauri zenu mtakuja kunanihii na mazimwi siku moja..
 
Eh! kula vitu kwanza mengine baadaye...LOL! Wabongo ndiyo tulivyo!!! Inategemea na calibre ya mwanamke kama anajiheshimu basi sahau kula vitu siku ya kwanza lakini kama na yeye anachojali ni uroda tu basi unaweza kufanikiwa. Pia wasomi hili la kumpeleka ghetto siku ya kwanza sahau maana they would like to be treated with respect not like changu doa, lakini kama una tabia ya kuokoteza vicheche tu basi unaweza ukajilia uroda siku ya kwanza. Na mwanamke anayetoa uroda siku ya kwanza ni lazima ujiulize mara mbili mbili je, ni tabia yake kutoa uroda siku ya kwanza!? Maana hapa uwezekano wa kugusa umeme ni mkubwa sana, usiniambie utatumia condom maana huwa zinapasuka.

Niliwahi kuona discussion kama hii kwenye forum ya Waamerika weusi wengi wao walidai kwamba kipindi cha miezi mitatu kinaweza kukubalika kabla hujapewa uroda lakini kikizidi hapo basi unaweza kuingia zako mitini. Na wengi walikuwa wanawaogopa Wanawake ambao wako tayari kutoa uroda siku ya kwanza hali kadhalika wanawake wengi nao kuwaogopa wanaume wanaotaka uroda siku ya kwanza.

well said Bubu...eti mtu mmekutana tu njemba linaanza kusogeza mikono..oh tukalale kwangu oh sijui nini..utafikiri beberu limeona mbuzi jike yuko kwenye heat? kwanini usisubiri tu mfahamiane taratibu...enzi zangu mie ukinialika lunch sijui kinywaji nahakikisha nina order ninachoweza kulipa, bili ikija navuta waleti yangu najilipia mwenyewe.. ukiinsisti kulipa sawa lakini hapo nakuwa nakusikiliza kwa makini nikiona unaanza kuongea kingonongono, nakuwekea pesa zako mezani huyoo naondoka..manake najisikia kama vile you are reducing my body/private parts value to a bottle of sprite
 
Hiyo wamekuuza- usipoulizia umri utauliza nini sasa? Hizo dates zenu ziko complicated, kama unam-date malaika! Kama ni mtu wa kawaida mi nachukua history kamili including age, education, ethnicity + work history!
Kinywaji unamuulizia, kama anataka beer unampa kitu anataka- la sivyo ukampa soda wakati ni mtu wa wine, atakuona kenge!

A gentleman never asks a lady's age!
 
Eh! kula vitu kwanza mengine baadaye...LOL! Wabongo ndiyo tulivyo!!! Inategemea na calibre ya mwanamke kama anajiheshimu basi sahau kula vitu siku ya kwanza lakini kama na yeye anachojali ni uroda tu basi unaweza kufanikiwa. Pia wasomi hili la kumpeleka ghetto siku ya kwanza sahau maana they would like to be treated with respect not like changu doa, lakini kama una tabia ya kuokoteza vicheche tu basi unaweza ukajilia uroda siku ya kwanza. Na mwanamke anayetoa uroda siku ya kwanza ni lazima ujiulize mara mbili mbili je, ni tabia yake kutoa uroda siku ya kwanza!? Maana hapa uwezekano wa kugusa umeme ni mkubwa sana, usiniambie utatumia condom maana huwa zinapasuka.

Niliwahi kuona discussion kama hii kwenye forum ya Waamerika weusi wengi wao walidai kwamba kipindi cha miezi mitatu kinaweza kukubalika kabla hujapewa uroda lakini kikizidi hapo basi unaweza kuingia zako mitini. Na wengi walikuwa wanawaogopa Wanawake ambao wako tayari kutoa uroda siku ya
kwanza hali kadhalika wanawake wengi nao kuwaogopa wanaume wanaotaka uroda siku ya kwanza.

Sawa kabisa mkuu.
Jamani,hivi ni mimi peke yangu ndiye mwenye uzoefu huu?Tukubali tukatae sisi watanzania wengi kama siyo waafrika tunafanya deti lengo letu huwa kwanza ni ngono halafu mengine ndiyo yatafuata yaani kuanza kufahamiana vizuri na hata kupendana ile kwa dhati kabisa.Ndiyo mana nikasema kwamba kwa mazoea yetu wabongo basi usicheleweshe maana ukijifanya kuleta ngonjera yanaweza yakakukuta yaliyoyomkuta rafiki yake na KKN!
Nakubali kuwa kwenda na demu ghetto siku ya kwanza siyo rahisi hata kwa bongo lakini kwa bongo ninayoiujia mimi kama una date demu na ni mfuatiliaji mzuri basi hata awe anajiheshimu anaweza akakuzungushazungusha kidogo lakini piga ua ndani ya mwezi lazima ufunue.Labda awe mlokole flani hivi!Binafsi sijawahi date demu bongo na kupoteza zaidi ya mwezi bila kufanya nae ngono.Mtasema wapo wengine mnaweza kwenda hata miezi/miaka,sawa.Lakini wengi sana ndiyo tuko hivi yaani kwanza ngono halafu mengine baadaye.
Sasa wenye tamaduni nyingine kama nilivyosema wengi wao wanataka kwanza akufahamu vizuri na akupende ndipo aanze kukugawia ile kitu forbidden fruit nawe ule.Mimi nilipoingia anga zao mwanzonimwanzoni,kidogo nipige mtu ngumi!!Manake nika date demu ka ezi mbili hivi,halafu siku ya siku tunakutana ananiambia eti she still doesn't know me so well,she needs some more time,ebo?
 
Last edited:
Ah! Kumbe!!!! you all have been blacklisted. And I am going to warn all my sistas. LOL

Mbu hata wewe pia! nasikitika sana!!

...naweee, haya ni mazungumzo baada ya habari, hata marriage counsellors sumtimes wanakwambia 'try it'...

Mlipuko wa HIV na STD nyingine wenye macho hatuambiwi ona, na hasa nikikumbukia your thread sumtime ago na nikakwambia 1st date yaweza jiandaa na 'meno' kama hii ...yote katika kumfunza mwanaume adabu! na ukware wake!
 
Last edited by a moderator:
A gentleman never asks a lady's age!

Ndio maana wengi wanaachana na ujentoman...sheria zimezidi.
Na hao walioacha ujentoman wanafanikiwa kwa sana tu...
You should just let it take its own course...usiigize.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom