Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 39
...naweee, haya ni mazungumzo baada ya habari, hata marriage counsellors sumtimes wanakwambia 'try it'...
Mlipuko wa HIV na STD nyingine wenye macho hatuambiwi ona, na hasa nikikumbukia your thread sumtime ago na nikakwambia 1st date yaweza jiandaa na 'meno' kama hii ...yote katika kumfunza mwanaume adabu! na ukware wake!
Ahahahah Mbu, wewe na wenzako ndio wa kushikishwa adabu... nakununulia hiyo dinner, gari langu na nakupeleka kwangu... kama utadhubutu kuyarudia tena!!!