1969 Wanafunzi wa kitivo cha Sheria wakishinikiza kuondolewa kwa wahadhiri wa Kimarekani

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,229
12,954
UDSM, 1969

Wanafunzi wa kitivo cha sheria waandamana kushinikiza kuondolewa wahadhiri wa Kimarekani katika kitivo hicho.

Walifika mbali kudai wengine ni C.I.A. Kipindi hicho itikadi ya Ujamaa imekomaa mno miongoni mwa vijana, tazama picha na mabango yao.

Umeona Prof Shivji?
 
View attachment 2679158
😂😂, Huyo Shivji nilisoma na mtoto wake anaitwa Amil Shivji, wamefanan ahdi nimecheka yaan
 
Sasa vijana wasikuizi wakishanyoa viduku wanaenda kukesha club afu akitoka chuoni anarudi nakijiukimwi flani hivi afu anakuwa navistress vya mapenzi mda wote,,,,ashumu bandari inapelekwa Kwa wahuni afu vijana tulionao niakina mijaku nayule manara eti ndo wazungumzie vitu nyeti kama hivi
 
Back
Top Bottom