15 Reasons Why Couple Breaks - Up

"He who loves 50 people has 50 woes; he who loves no one has no woes" Gautama.
Show me a Person who does not love I will show you a dead person
Is there really a person who loves nobody... he/she might be selfish..., but loving no one I doubt it..
 
Kabla ya kuchangia ni vizuri iwe clear ni aina gani ya couples zinazozungumziwa - If we are talking of "married couples" ambao wame-exchange "solemn vows" mbele ya Mungu na mbele ya watu kwamba wataishi pamoja kwa shida na raha nadhani hakuna lisilovumilika kati ya hayo
 
ndugu yangu tena kwenye marriage ndio baya sana hakuna kitu kibaya kama mental and physical abuse...
 
Show me a Person who does not love I will show you a dead person
Is there really a person who loves nobody... he/she might be selfish..., but loving no one I doubt it..

naungana na wewe labda mfu!!ikiwa love ni moja ya basic needs kila mtu aliye hai anapenda na anahitaji pia kupendwa.
 
  1. Desire to be independent.
  2. Getting attracted to another person.
  3. Infidelity.
  4. Physical incompatibility.
  5. Less attracted to the person in a sexual way.
  6. Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
  7. Conflict in tastes and desires.
  8. Continuous nagging.
  9. Comparing the man or woman to others constantly
  10. Imparting unsolicited advice all the time
  11. Addiction to alcohol or drugs
  12. Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV [kisichovumilika ni tabia ya wanaume kupenda kurudiarudia makosa.
 
hivi hili la kurudia makosa ni la wanaume peke yao? Je wanaume nao wakisema wanawake wanapenda nagging (kulaumulaumu)
Inawaangukia wanaume zaidi maana ndio zao!Sitafanya tena..sitarudi nimelewa..mara hili mara lile ila unakuta wanaendeleza tu!Tatizo la kwanza linazaa la pili..LAWAMA!Sasa kama hutaki lawama kua mtendaji na mtimizaji mzuri wa ahadi!
 
  1. Desire to be independent.
  2. Getting attracted to another person.
  3. Infidelity.
  4. Physical incompatibility.
  5. Less attracted to the person in a sexual way.
  6. Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
  7. Conflict in tastes and desires.
  8. Continuous nagging.
  9. Comparing the man or woman to others constantly
  10. Imparting unsolicited advice all the time
  11. Addiction to alcohol or drugs
  12. Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV
  13. Physical and mental abuse and exhibiting sadistic tendencies
  14. Ignoring or showing disrespect to friends and relatives of one spouse
  15. Impotency or inability to bear children.
MY TAKE...
Mengi hapo juu tunaweza kuyavumilia ...... UVIMILIVU..., thats all needed in Relationship..., Je mnadhani among the above ni kipi hakivumiliki?

Infedility and alcohol/drugs..kuvumiliana my foot, siwezi wala siindekezi, akatafute wengine
 
hivi hili la kurudia makosa ni la wanaume peke yao? Je wanaume nao wakisema wanawake wanapenda nagging (kulaumulaumu)

sasa ushafanya kosa nimekusamehe ukirudia tena lazima nitalaumu.
Kurudia kosa ni kwa wote ila wanaume wamezidi na visingizio vyao vya shetani kanipitia.
 
Huyo malaika asiyefanya kosa na kurudia atatoka wapi? muwe realistic kina dada..
 
  1. Desire to be independent.
  2. Getting attracted to another person.
  3. Infidelity.
  4. Physical incompatibility.
  5. Less attracted to the person in a sexual way.
  6. Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
  7. Conflict in tastes and desires.
  8. Continuous nagging.
  9. Comparing the man or woman to others constantly
  10. Imparting unsolicited advice all the time
  11. Addiction to alcohol or drugs
  12. Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV
  13. Physical and mental abuse and exhibiting sadistic tendencies
  14. Ignoring or showing disrespect to friends and relatives of one spouse
  15. Impotency or inability to bear children.
MY TAKE...
Mengi hapo juu tunaweza kuyavumilia ...... UVIMILIVU..., thats all needed in Relationship..., Je mnadhani among the above ni kipi hakivumiliki?
Pamoja na sababu hizi, ukosefu wa mshiko siku hizi unachangia sana!!
 
Huyo malaika asiyefanya kosa na kurudia atatoka wapi? muwe realistic kina dada..
Hivi we kwanini unapenda kunikatisha nikiongea mbele za watu??Jamani we kila siku unarudi umelewa!Pesa yote unamalizia bar!Ntaacha..ntapunguza na bado anaendeleza kwa speed 120!
Sasa vitu kama hivi mtu hawezi kujizuia ili asirudie tena?
 
Inawaangukia wanaume zaidi maana ndio zao!Sitafanya tena..sitarudi nimelewa..mara hili mara lile ila unakuta wanaendeleza tu!Tatizo la kwanza linazaa la pili..LAWAMA!Sasa kama hutaki lawama kua mtendaji na mtimizaji mzuri wa ahadi!

Tatizo nadhani huwa ni partners wote wanafikiri wanaweza kumbadilisha mwenza wao tabia.., sasa kama tangu zamani mwanaume alikuwa anapenda kabeer kake.., ni vigumu aje abadilike baadaye cha kufanya ni kuaccept mwenzako anachopenda na kuishi around it.., kama anakuja usiku jaribu akienda bar uende nae au mnunulie anywee nyumbani...., am sure ukitumia busara zilizomtega mwanzo mpaka akakupenda unaweza ukamfanya badala ya kwenda bar akanywea nyumbani au badala ya 7 days a week ikawa ni siku moja kwa wiki..., women fail to understand that maybe nagging is the reason the guy spends most of the time out....
 
sasa ushafanya kosa nimekusamehe ukirudia tena lazima nitalaumu.
Kurudia kosa ni kwa wote ila wanaume wamezidi na visingizio vyao vya shetani kanipitia.
Ndio inategemea lawama unaweza ukasema kwa maneno machache kwamba mpenzi hapa umekosea, au mwenza wako kama anakupenda akiona umekaa hauna raha am sure atajutia alichofanya na next time hatapenda kukuumiza... lakini sio lawana ndio zinakuwa wimbo... mnaenda chumbani lawama mkiamka lawama mnakunywa chai lawana am sure huyu bwana jioni ataomba muda wa kurudi nyumbani usifike ili asije kuendelea kusikia nyimbo zile zile
 
Back
Top Bottom