Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,263
leo nimecheka sana.
Dada kuna mtu kaiba password yangu...lolMdogo wangu leo umelala wapi? LOL
Nilikua wapi mambo yananipita????
Well, number 6 can be a turn on if you keep CERTAIN clothing effects, ex: the watch, the jewelries and... the high heels and stockings... lol
View attachment 39799
Ok, now that I am in, nini kinaendelea katika thread hii?
Ahaaaa....kumbe una kadi nilikuwa sijui kama umeishakuwa registered
King'asti bana,bado unachokoa visivyochokoneleka? Mwenzio nshaji piga PI huko .
Usisahau kumpa na Husninyo...Nimeihamishia kwenye useful docs zangu...shukrani kaka.
shauri lako,kuna watu watakushukia hapa,jf ina mapolisi siku hizi wanachungulia umeandika nini,mi nshaambiwa nimetengewa siti jehanam!Hakuna kisichochokoneleka bishanga,kawezekana pweza itakuwa infii? Kitaeleweka tu,weeh tulia
RR aisee hiyo picha halafu ujue usiku sasa hivi eheee...lolNilikua wapi mambo yananipita????
Well, number 6 can be a turn on if you keep CERTAIN clothing effects, ex: the watch, the jewelries and... the high heels and stockings... lol
View attachment 39799
Ok, now that I am in, nini kinaendelea katika thread hii?
King'asti taratibu Husn kaingia lini hukoHehehe,mie ndo mkiti wa kina mama. Naweza kukupa a few suggestions (husn is taken though)
King'asti taratibu Husn kaingia lini huko
King'asti taratibu Husn kaingia lini hukoHehehe,mie ndo mkiti wa kina mama. Naweza kukupa a few suggestions (husn is taken though)
King'asti taratibu Husn kaingia lini huko
shauri lako,kuna watu watakushukia hapa,jf ina mapolisi siku hizi wanachungulia umeandika nini,mi nshaambiwa nimetengewa siti jehanam!
Watakaponikuta peponi mi ndo naelekeza watu pa kukaa,wataelewa ujanja kupata,lol
Hahaha....Bishanga hivi Bebii ameishalala eheeekumbe unamwogopa Hus,sasa kwa nini kutwa kucha unazurura kwenye mabaa na Bebii?
Sababu we suppose that kuna watu wanaruhusa ya kusoma hivi vitu na kuvitumia (lovers in general). Ila kama watatumia vibaya sasa hapo sisi hatumo...binadamu tuna mambo King'asti!
Actualy bila kuwa na mawazo tofauti na kuruhusu yatawale,jf itakufa.
Humu ndani watu wajifunze tolerance,unakuta mtu anafura povu linamtoka kisa eti mnapromoti uzinzi,strange,hakuna mtu ana promoti uzinzi,all we are doing ni kumsukuma chura kidogo ili aruke vizuri zaidi.
binadamu tuna mambo King'asti!
Actualy bila kuwa na mawazo tofauti na kuruhusu yatawale,jf itakufa.
Humu ndani watu wajifunze tolerance,unakuta mtu anafura povu linamtoka kisa eti mnapromoti uzinzi,strange,hakuna mtu ana promoti uzinzi,all we are doing ni kumsukuma chura kidogo ili aruke vizuri zaidi.
Hahaha....Bishanga hivi Bebii ameishalala eheee