1000 reasons to love and be proud of Tanzania

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Ndugu zangu, leo naomba tuwe wazalendo zaidi kwa kuorodhesha sababu 1000 za kuipenda na kujivunia Utanzania wako...
1. No tribalism
2. No racial discriminations
3. No religious discrimation
4...
Naomba muendelee hadi tufikishe 1000
 
Mh! hivi eeh???

4. It where jamiiforums was born
5....?
 
Ndugu zangu, leo naomba tuwe wazalendo zaidi kwa kuorodhesha sababu 1000 za kuipenda na kujivunia Utanzania wako...
1. No tribalism
2. No racial discriminations
3. No religious discrimation
4...
Naomba muendelee hadi tufikishe 1000

Hizo shaded sikubaliani nawe, ukabila upo kwa kiasi fulani, na udini pia umeanza sana tu. Bye the way hata kama hayo mentioned yapo I still hate to be tanzanian, kwani havijanisaidia, shida tu.
 
jamani watanzania hamuipendi nchi yenu kiasi hicho?
 
Ndugu zangu, leo naomba tuwe wazalendo zaidi kwa kuorodhesha sababu 1000 za kuipenda na kujivunia Utanzania wako...
1. No tribalism
2. No racial discriminations
3. No religious discrimation
4...
Naomba muendelee hadi tufikishe 1000

Wakati wakenya wakifunguka kutekeleza katiba mpya na kuondoa ufisadi, Watanzania Milioni 40 wanaburudika na bidhaa za TBL.
 
Wakati wakenya wakifunguka kutekeleza katiba mpya na kuondoa ufisadi, Watanzania Milioni 40 wanaburudika na bidhaa za TBL.
ah ha ha ha ah ha aha h aha mh!!! isn't that a kashfa kweli?
 
Let us not lie to each other, I am Not sure if you real proud to be Tanzanian
or just because of the coincidence you happened to be born in Tanzania so leave you no choice,
 
Back
Top Bottom