00:59:00 - T : The Countdown... Light.. Action...

Status
Not open for further replies.
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac

Tueleze tu mkuu, hata kama ni usajili wa CCJ kukubaliwa poa tu. Usipoeleza hapa na kutuweka rohu juu bure, Wallahi nakuripoti kwa Mr. PAW anakulima BAN!
 
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac

Mkuu Mzee wa Kijijini tafadhali fafanua au wataka tuseme kule sirini ?Mwaga mboga tafadhali mkuu mie nitamalizia na ugali tukose kabisa
 
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac

Ndugu Mwanakijiji unaelekea kuwa kama Al marhum Shehe Yahya sasa!! Unataka kikitokea kitu chochote ndani ya muda huo useme si nilisema!! Tufafanulie na wenzio tuanze kuhesabu. Yaani unataka tuanze kuhesabu bila kujua tunahesabia nini. Mkuu piga moyo konde nena na wenzio kwa lugha yao usinene kwa lugha mpya.
 
...............................Nahisi yafuatayo,maana na mie nimeyapata haya ya Mwanakijiji..
  1. Ngeleja out,Malima waziri
  2. Kombani out
  3. Wasira out-lowasa in
Hizi ni fununu........
 
...............................Nahisi yafuatayo,maana na mie nimeyapata haya ya Mwanakijiji..
  1. Ngeleja out,Malima waziri
  2. Kombani out
  3. Wasira out-lowasa in
Hizi ni fununu........

Pale pale ikulu au kwingine?
 
Ni dakika kama 30 zijazo tu, hakuna kikubwa mkuu, ni yale yale... Ya kushtukiza na kumfanya mtu aanze kutafakari mara mbilimbili

Bado sijaelewa ila nahisi kakitu. Tatizo hapa nilipo bwana Megawat anaweza kuchukua kilowats zake nikakosa huo uhondo!! Ngoja niake dakika 30 si nyingi.
 
meeeeeeeen!!!!!!! fungukeni wakuu. au mnaogopa kufanyiwa pre preemption?
 
I suggest MM ale ban kwani muda unayoyoma na bado yupo kimya, au anaogopa ya sije mkuta yaliyomkuta mzee wa NYC
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom