piga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MulengaMulenga

    Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

    BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATALANTA BC Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa. Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League Finali leo na kwa nini?
  2. MulengaMulenga

    Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

    Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
  3. Faana

    Piga Kura

  4. vvvv

    Piga kura tumalize utata, Chama na Pacome yupi bora zaidi

    Kutokana na ubishi mwingi kuhusu hawa viungo tupige kura kati Chama na Pacome nani bora zaidi. Mwenye kura nyingi ndo chaguo la wengi tumalize ubishi humu JF
  5. Dr Count Capone

    Kataa ndoa vs kubali ndoa (online poll)

    Ashakutakia Happy Valentine? Kama bado Mambo yasiwe mengi, shikilia hapo hapo! Waungwana kwa muda tumeona nyuzi baada ya nyuzi akina Liverpool VPN dronedrake na wenzao wakipiga kampeni kali kabisa kukataa ndoa huku wakitoa mifano ya visa vya kweli Na mzee wa busara Mshana Jr na wengine...
  6. N

    Kura ya Maoni: Tozo la Kodi ya Miamala ibaki, iondolewe au ipunguzwe?

    Tupige kura ili kujua Watanzania tunataka nini kuhusu kodi hii mpya ya miamala
Back
Top Bottom