Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay awavaa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kupiga picha na ku-shoot videos kisha ku-post kwenye mitandao yao ya kijamii.
Kupitia andiko lake ameonesha kutofurahishwa na tabia hiyo kwa kuhoji; "Hivi mnaoenda kwenye misiba na kuanza...
Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
Nipo wilaya ya kazi, Bunda mkoani Mara. Majuzi nilihudhuria mazishi ya Mzee mmoja maarufu. Sasa tukiwa msibani kuna dada mmoja msukuma mweupe kapanda hewani na tako hilo. Katika harakati zangu nikafanikiwa kupata namba zake ambapo alinieleza kaolewa mkoa jirani na alikuwa kapewa ruhusa na mmewe...
Habari wadau!
Kuna tabia za ajabu sana siku hizi, watu hawana utu ukifa kwao sherehe.
Mzee alipofariki, rafiki yake wa karibu alipewa jukumu la kwenda kutafuta mahali pa kuchimba kaburi, kwa wasiojua hata maeneo ya kuzikia pale makaburini yana madaraja na bei ni tofauti. Best yake kabisa mshua...
Unakuta Kundi Kubwa la Watu ( Waombolezaji ) muda wote tu wakiwa Msibani au katika Uwanja wote huwaoni Wakilia tena Macho yao huwa ni Makavu kabisa, lakini wakiona tu Camera za TBC1, ITV na Azam tv zinawamulika ghafla utawaona Wakilia kwa Uchungu na Camera zikiwahama tu Wananyamaza, wanafuta...
Hivi inawezekana vipi Rais na Makamu hamuelewani lakini mpo wote tu madarakani?
Mimi sio Mtaalamu wa siasa lakini sioni kama kuna mwisho mwema hapa kwenye hili vuguvugu la Uhuru vs Ruto. Vijembe vinazidi kushika kasi kuelekea uchaguzi 2020. Uhuru anaulizwa ni nini kinamshinda kumtimua Ruto...
Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera!
***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.