majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Barua ya Wazi Kwa Comrade Ally Saleh, Uchaguzi Umekwisha, Yaliyopita Si Ndwele, Tugange Yaliyopo na Yajayo, Pelekeni Majina, Muijenge Zanzibar Yenu!

    Wanabodi, Hii ni Barua yangu ya Wazi kwa Ndugu yangu mwana fani mwenzangu wa tasnia ya habari na mwanasheria Mwenzangu, Ally Saleh, ambaye kwenye mambo ya Zanzibar, tumetoka naye mbali, toka wakati akiwa reporter wa BBC kule Zanzibar na mimi nikiwa reporter wa DTV ya Dar. Wakati wa vurugu za...
  2. M

    Ni lini TAMISEMI itaweka hadharani Orodha ya majina ya Walimu waliopangwa Vituo vya Kazi?

    Najisikia vibaya Sana kama Kada wa CCM kila nikiona Vijana Wenzangu wakiulizia hili jambo na wengine kuongea Maneno ya Kebehi Kuhusu Serikali yetu. Naombeni Wahusika huko TAMISEMI mtoe tamko angalau kushusha presha ya Vijana ambao Tokea Mwezi wa tisa mwishoni wanasuburi majibu yao. Nawasilisha!
  3. Q

    Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama...
  4. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 CHADEMA yaitaka Tume ya Uchaguzi NEC kutoa Ufafanuzi kuhusu Majina ya Wabunge wa Viti Maalum Wanaodaiwa wamepelekwa Bungeni

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufafanua kwa umma kupitia vyombo vya habari kuhusu kauli ya upotoshaji iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera kupitia mojawapo ya magazeti ya...
  5. Return Of Undertaker

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  6. S

    Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

    Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja. Kwa sababu hiyo, tarajieni kuona wale wale waliowadhulumu haki zenu wakigeuka wema kwenu na...
  7. Infantry Soldier

    Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuuita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina ya Kiingereza?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini nchi ya "Mozambique" tuliamua kuiita "Msumbiji" tofauti na nchi zingine za jirani zinazopakana na Tanzania zilizobaki na majina yake ya Kiingereza? (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Kongo...
  8. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Musoma: Wananchi walalamika majina yao kuhamishiwa vituo vingine bila kupewa taarifa

    Musoma. Baadhi ya wakazi wa kata ya Bweri manispaa ya Musoma wamelalamika majina yao kupelekwa katika vituo ambavyo hawakujiandikisha kupiga kura na kusababisha watembee umbali mrefu kwenda vituo vingine. Wakizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatano Oktoba 28, 2020 kwenye kituo cha Bweri FDC...
  9. Dam55

    Uchaguzi 2020 Kuchanganywa kwa majina ya wapiga kura kwenye vituo kutafanya wengi wasipige kura, hatua za haraka zichukuliwe

    Habari wana jukwaa. Kwanza namshukuru Mungu kunipa uzima na kuniwezesha kutimiza haki na wajibu wangu kikatiba wa kupiga Kura. Pia nitoe pongezi kwa Tume kwa jinsi zoezi hili muhimu linavyoendeshwa hadi sasa, utulivu upo wa kutosha kwenye vituo vya kupigia Kura, pa si nashaka naweza kusema...
  10. R

    Majina ya wapiga kura yaliyobandikwa kwenye Kituo cha Kupigia Kura hayana serial numbers, kuna nini katika hili?

    Majina ya wapiga kura katika kila kituo yamebandikwa kama wiki hivi. Ukingalia hakuna serial numbers ambazo ni muhimu kujua kila kituo kina wapiga kura wangapi. Tumeambiwa ukifika unataja serial number ya jina lako, then msimamizi inakuwa rahisi kuliona na process ya kupiga kura inakuwa rahisi...
  11. barafu

    Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM: Msisumbuke kuangalia majina mengine kwenye karatasi ya kura, majina na wagombea wengine siyo halali, usipoteze muda kuwaangalia

    Akiwa Wilayani Chemba-Dodoma, akielekea makao makuu ya nchi Dodoma, mgombea Urais wa CCM amesimama na kuhutubia hadhira ya wana-Chemba. Lakini katika jambo la kushangaza ambalo pengine NEC wanapaswa kuliona kama sehemu ya kinyume na utaratibu, Mgombea Urais wa CCM anasema wagombea wengine...
  12. fenestra rotunda

    Uchaguzi 2020 Deadline ya majina ya mawakala ni kesho, CHADEMA mmejiandaaje?

    Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi vyama vyote vinatakiwa vipeleke majina ya mawakala wao kwa ajili ya viapo siku saba (7) kabla ya uchaguzi na kesho ndo siku yenyewe ya kuwasilisha majina na viapo. Sisikii mikakati ya CHADEMA katika hili maana kosa moja hapa linaharibu mchezo mzima. Sijajua pia...
  13. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
  14. M

    Wasanii wa Kitanzania na siasa

    Kama kichwa ha habari kinavojieleza hapo juu, msaada tafadhali. Tunaeleka mwaka wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge pamoja na madiwani. Ipo haja sasa kwa Watanzania kukaa na kupima licha ya kwamba Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweka wazi kabisa katika Ibara zake kuwa kigezo cha...
  15. Mwanamayu

    Uchaguzi 2020 Je, Tume ya Uchaguzi ya Tanzania haijandaa karatasi zenye majina ya wagombea za kupigia kura? Au zimeandaliwa za namna nyingi?

    Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea wanaotumia lugha ya matusi na uchochezi kwenye kampeni wataondolewa kwenye karatasi ya kupigia kura. Yaani...
  16. Mlenge

    Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road)

    Barabara Isiyo na Jina (Unknown Road) Ukiangalia ramani kwenye Uber au Bolt; Google Maps au OpenStreetMaps: Baadhi ya barabara hazina majina. Ungepewa jukumu la kuzipa majina, ni yapi ungeyatumia ili kila barabara na mtaa viwe na jina?
  17. T

    Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    Mshiki: Dada Mamkwe: Mtoto wa Pili wa Kike katika Familia Haikaelly: Asante Mungu - Jina la kiume Haika: Asante,Jina la kike Finyaelly: Nguvu za Mungu Ndekarisho: Ndekirwa: Nderingo: Elikunda: Mungu Kapenda Kundaelly: Mungu amependa Siaelly: Wale wanajua maana waongeze hapa
Back
Top Bottom