Rais Magufuli na msafara wa magari 4

Eeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!
 
Hayo safi kabisa yanatosha...hii nchi ina amani ya nini kutembea na msururu wa migari 20!?!

Kweli Dkt Magufuli ni chaguo la Mungu. Na Mungu pekee ndiye atamlinda mja wake.

Basi wote tuu ni machaguo ya Mungu. Maneno kama haya tuliyasikia 2006 kuhusu JK.
 
Eeh Mungu uishie najua wewe ndiwe ulietupa huyu Rais Magufuli...nakuomba umlinde umtunze umkinge na kila adui wa ndani na nje..umlinde atokapo umlinde aingiapo umlinde alalapo umlinde aamkapo..eee Bwana wa Mabwana hakuna linalokushinda tusaidie please...!

Safi sanaa
 
Mh. Magufuli. Hii vita dhidi ya wakwepa kodi wakubwa na wauza unga, inabidi ulinzi uwe mara dufu kuliko ule wa Kikwete.

Please tunahitaji uwepo wako kwa miaka mitano hadi uchaguzi ujao. Maombi yatakuwepo lakini kila tahadhali ichukuliwe.
 
Kwa kawaida rais anapaswa kuwa na magari yasiyozidi 4 na si chini ya matatu( mbele na nyuma ) lakini jk alikuwa na msafara wa magari kama 10 hivi plus polisi fagia road
 
Nipo hapa seaview, upanga. Ni saa 1:20. Rais wetu anapita akiwa na pikipiki 2,za polisi na magari manne tu. Halafu hakuna kufunga barabara. Jamani, haya ni maajabu. Tumempata kiongozi.

Hicho sio kitu chakushangilia Yuko kwenye Vita lazima azingatie Ulinzi yasije yakatokea ya THOMAS SINKARA huko Bukinafaso
 
Back
Top Bottom