Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Ni dakika chache zijazo tutamsikia hewani kupitia Clouds FM (kwa mujibu wa Gerald Hando) kupitia kipindi cha Power Breakfast.
Tupeane updates hapa....!!!
 
Ni dakika chache zijazo tutamsikia hewani kupitia Clouds FM (kwa mujibu wa Gerald Hando) kupitia kipindi cha Power Breakfast.
Tupeane updates hapa....!!!

Mbona umesema "ajibu" ..!? jifunze kiswahili mkuu
 
Kama mtu ni mfatiliaji wa muziki bas hakuna hasiyejua kuwa Clouds ni kituo kinachodidimiza wasanii wengi tu. Wanawajengea bifu wasanii kitu ambacho ni cha hajabu.
Ukwel ni kuwa kazi nyingi za show zinapitia mikononi mwa Clouds lakini si busara ata kidogo kuwanyanyasa wasanii kwa sababu hii.
Yan wanataka wasanii wajibembeleze kwao,wanachotaka au kusema ndiwe kiwe hvyo hvyo,hii haiwezekani.
Na ndiyo maana nilikuwa namuelewa sana sugu alipokuwa anapigia kelele kwa studio iliyotolewa na JK kupewa huyu jamaa Luge.
Kwa wasanii hakika Luge na Clouds hawawatendei haki,wale wasanii wa ndiyo baba ndo wanaopeta pale.
Nje ya muziki Luge na Clouds wanafanya poa,mfano kuna watu wengi sana uwa wanapewa msaada kuanzia chakula,mahala pa kulala paka wanapopata msaada kamili toka kwa wadau wengine, kuna watu wapo shule,watu wametibiwa magonjwa yao kwa kupitia Clouds haya jamaa wapo poa sana ila kwa wanamuziki hawapo sawa.
 
Anajiandaa kuongea dakika chache sana kuanzia sasa....yupo studio anasubiria udondozi na habari za biashara...!kazi kweli kweli naona hapo amejiandaa jino kwa jino au atakuwa mwana diplomasia?tusubiri!
 
Huuu ni upuuuzi wa kulumbana.....tuko kwenye enzi za zamani kweli
 
aache unyonyaji. walianzisha radio ya kuwachafua wasanii na kuwadidimiza. mia
 
Ameanza na blaablaa nyingi badala ya kuongea moja kwa moja kilichompeleka
 
Huyu si ndiye aliyekua anamtafuna Jide, kweli hawa ni wanyonyaji sana.
 
"TANZANIA FURSA NI NYINGI USHINDANI NI MDOGO"-RUGE

#Duh anaongea kwa mafumbo kama taarabu
 
Back
Top Bottom