Search results

  1. H

    Ulipaji wa tution fee ifm

    wanajamvi nimepata mkopo na loan batch za ifm zinasema tution fee watanilipia 700000 swali langu je mimi nitalipa 800000 iliyobaki au nitalipa kulingana na joining instruction inavyosema yaani 60% ambayo ni 900000 hapa sielewi kidogo mwenye uelewa na idea anisaidie
  2. H

    Ifm medical examination form is out

    Kwa wale mlochaguliwa ifm medical examination form iko on air tayari...tembelea www.ifm.ac.tz ujipakulie mzigo nawasilisha
  3. H

    Mchakato wa hostel ukoje kwa sisi tulopangwa ifm

    Wana Jamvi mie nimepangwa hapo IFM...BA,,,,,Naishi Arusha naomba msaada kuhusu mchakato wa kupata chance ya HOSTEL Nawasilisha wadau
Back
Top Bottom