Search results

  1. N

    Hebu pitia na hili kuhusu rasimu ya katiba mpya.

    POTTASIUM;-Education means-Information about anything.Pia kuelimika ni pamoja na kujua na kupambanua mambo hivyo bac hii topic sio dhambi kuwepo katika jukwaa hili.Waweza tembelea jukwaa la siasa pia utaikuta mada hii. "TAFAKARI CHUKUA HATUA".Kuwa makini unapotaka ku-argue kitu...
  2. N

    Hebu pitia na hili kuhusu rasimu ya katiba mpya.

    Katika rasimu ya katiba mpya inayopendekeza muundo wa serikali tatu kwa kuwa na " SHIRIKISHO " la bara na visiwani kwa kumaanisha kwamba Muungano wetu utaendelea kuwepo mimi naona si sahihi kwani kama tunahitaji muun gano basi tuwe na serikali moja tu.Mantiki yangu ni kwamba,maneno...
  3. N

    Nini tofauti kati ya muungano na shirikisho?

    Bobwe kumbuka hata cc hatuna shida na hicho kitu,tanganyika tuna ardhi ya kutosha kabisa na miundombinu mingine.
  4. N

    CHADEMA, serikali tatu na serikali ya majimbo

    Jamani hebu tujadili na hili,katika rasimu ya katiba mpya inayopendekeza muundo wa serikali tatu kwa kuwa na "SHIRIKISHO" la bara na visiwani kwa kumaanisha kwamba Muungano wetu utaendelea kuwepo mimi naona si sahihi kwani kama tunahitaji muungano basi tuwe na serikali moja tu.Mantiki yangu...
  5. N

    Nini tofauti kati ya muungano na shirikisho?

    Jamani hebu tujadili na hili,katika rasimu ya katiba mpya inayopendekeza muundo wa serikali tatu kwa kuwa na "SHIRIKISHO" la bara na visiwani kwa kumaanisha kwamba Muungano wetu utaendelea kuwepo mimi naona si sahihi kwani kama tunahitaji muungano basi tuwe na serikali moja tu.Mantiki yangu...
  6. N

    BOT watoa scholarship changamkia

    Dah,ahsante kwa habari njema.
  7. N

    Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    Kaka SUA WEB kulikua kimya sana pia,lakini sasa kuna habari njema ya jana 27/09/2012 hasa kwa wale 2liokosa mikopo ule ni unafuu kwe2 kwamba minimum ya malipo ya tuition fee ni at least nusu (50%) ya annual tuition fee kwa maana kwamba kwa sisi wa science courses ni 631,500/= na sio kama...
  8. N

    kuna matumaini yoyote kwa HESLB

    Una taarifa yeyote khs heslb?
  9. N

    kuna matumaini yoyote kwa HESLB

    Mwenye taarifa yeyote jamani kuhusu heslb ln itatoa majina atujuze!
  10. N

    Kwa mliochaguliwa sua

    E bana nipatie abc's kwa course ya bsc in agricultural education.
  11. N

    SUA SELECTION Vs Ze Duduz

    E bana mbona kwenye profile vitu vinakuja mara vinaondoka?
  12. N

    SUA SELECTION Vs Ze Duduz

    E bana huku kwenye profile mara vitu vipo mara vinapotea,ni aje?
  13. N

    Waliochaguliwa SUA hapa!

    E bana mbona mimi siioni orodha ya sua?
  14. N

    Waliochaguliwa SUA hapa!

    wajomba mbona mimi sioni k2 kwa hawa waliochaguliwa SUA?
Back
Top Bottom