Search results

  1. T

    Software Developers msaada

    Habari zenu humu mimi beginner kwenye field hii ya software engineering ninaomba msaada kwa wale senior/experienced software developers.. Ninapata taabu sana kwenye swala zima la ku-initiate project lets say nina idea ya kitu flani nashindwa kujua niazie wapi (assuming ninajua language X)...
  2. T

    Inatafutwa HUAWEI Y300

    Habari wakuu natafuta simu aina ya huawei y300 mwenye nayo ani pm tufanye biashara budget yangu 120000
  3. T

    [SELLING] DELL Inspiron N5040@500000

    Habari wakuu, nauza laptop aina ya Dell inpiron N5040 yenye sifa zifuatazo Laptop specs. model;Dell inpiron N5040 RAM; 2GB processor; intel pentium p6200 speed; 2.13GHz system type; 32 bit Os Os; window 7 pro HDD; 320GB Usage;1 month HDMI Support Price:500000(negotiable) 3 usb ports Contact me...
  4. T

    [msaada]window 8.1

    habari wakuu, mimi natumia window 8.1 N built 9600(not activated) tatizo ni kwamba tangu jana nina experience some difficulty matatizo nayokumbana nayo ni haya 1. nikifungua my computer inatumia muda mwingi kufunguka kiasi kwamba ikifika mwisho inagoma 2.nimejaribu kufungua task manager...
  5. T

    kwa laptop zinazotumia sim card

    habarg wajf natumia laptop aina ya dell latitude D630 inauwezo wa sim card ila siwezi kuitumia ninaomba msaada kwa anayejua ni program gani naweza tumia kuconnect na intanet
  6. T

    msaada:jinsi ya kuongeza dimension ya movie/clip

    habari wana jf kwa mwenye ujuzi wa kuongeza ukubwa wa movie naomba anisaidie. Nina TV aina ya sony flat scream inch 14 inauwezo wa kusoma flash disc but kwenye format ya MPEG tatizo ninapo convert movie na kuplay kwenye TV huwa inaonyesha picha ndogo sana. Msaada kwa mwenye ujuzi wa kuongeza...
  7. T

    DIT:msaada

    habari wana jamvi ninaomba kuuliza kuhusu chuo cha DIT je wanatoa certificate na minimum entry requirement ni zipi wanaanza lini pamaja na fees zao.
  8. T

    ISTALING ANDROID OS IN LG kp500

    Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500
  9. T

    Techniq za kusoma

    Tukiachana na suala la kuweka miguu ndani ya maji,nadhani kuna njia nyingine nyingi ambazo watu hutumia. Huwa kwa kawaida kuna uvivu huwa unatokea kabla ya kushika daftari. Tusaidianeni jamani
  10. T

    Kwa nini watahiniwa wa kujitegemea wanafeli

    Habari wanajamii naombeni msaada wenu katika hili je ni kwanini watahiniwa wa kujitegemea(private candidate) wanafeli sana au kuna upendeleo katika kusahisha na je maksi zao zinatofautiana vp na school candidate yaani katika watu 100 afaulu 1 sio kwamba walikuwa hawasomi
Back
Top Bottom