Search results

  1. MMDAU

    Natafuta mchumba

    uwe mkubwa futi kumi na mbili kwa kumi na tato utoshe kuweka kitanda changu cha sita kwa sita maeneo ya sinza kodi iwe bei rahisi kidogo na umeme na maji viwe vya uhakika
  2. MMDAU

    Inakuhusu

    Nimejaribu kuchunguza katiaka jamii yetu hii ya kitanzania pamoja na huku jamii forum nikagundua kuwa watu wengi walio ktk mahusiano hayadumu (maranyingi ni kuanzia siku moja hadi miaka mitano) na hata ndoa nyingi pia hazidumu hivi tunamkosi gani binadamu wa sikuhizi, mapenzi yamekuwa kama nguo...
Back
Top Bottom