Search results

  1. N

    Mh.Mbowe na Mnyika kuwasha moto Igunga Leo

    Heko Chadema.
  2. N

    Wapenda amani nchini kumtetea mahakamani Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Pinda

    Wewe ni -------- kati ya wapumbavu waliopo. Kila mara post zako huwa ----- mtupu. Unapenda kushambulia watu binafsi badala ya hoja. Sisi tunajadili hoja iliyoko mahakamani wewe pimbi unamjadili mtu binafsi - kijo Bi simba. Eti wewe nawe great thinker.
  3. N

    CHADEMA yapata pigo Kusini; mwenyekiti wake ajiuzuru

    Habari za kariakoo. Unafurahia watu wanavyokuunganisha na jina kubwa. Msanii wewe.
  4. N

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Kuna kashfa zilizotoka kwenye gazeti la Changamoto zikimhusisha zitto kuchota pesa kwenye taasisi za serikali zilizochini ya kamati yake ikiwepo Ngorongoro kreta kwa kutumia NGO yake. Mpaka sasa hajajibu kashfa hiyo, ina maana ni kweli.
  5. N

    USAHIHI: Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na kujitenga na ziara ya viongozi wakuu

    Zitto hata aseme nini hakuna mtu anayemwamni tena! Naona muda umepita habari zake hazijatoka Mwananchi au rafiki aliyekuwa anamjenga kimkakati amegoma?
  6. N

    CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

    Wanajiandaa na press conference ya kutetea chama chao. Aweda anajiandaa kukisafisha chama kwenye malumbano ya hoja ITV alhamisi.
  7. N

    Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    Mwigulu mjinga.
  8. N

    Nani kamchagua Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA 2015??

    Ben saanane, thread kama hizi nyinyi viongozi wa chadema na wafuasi wenu mnatakiwa kuzipuuza. Kitendo cha kuja hapa maana yake mnawapa vichwa waleta propaganda.
  9. N

    Nani kamchagua Dr Slaa kuwa mgombea Urais wa CHADEMA 2015??

    Na mimi nakuuliza, nani kasema Dr Slaa hana haki ya kugombea? Muda ukifika wajumbe wataamua.
  10. N

    Nampongeza Aweda kwa kujilipua na hoja ya madawa ya kulevya ya (Mengi vs Nzowa )ITV , lakini....

    Kwa hili la Madawa ya kulevya yanayoangamiza watoto wetu, tuache uccm na uchadema kwanza - vijana wetu kwanza. ktk hili Aweda alikuwa sahihi kuhoji usafi wa NZOWA. Tuache ushabiki.
  11. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Mwigulu Jinga kweli, yaani hajui watakuja watu wangapi yeye anawaita waandishi wa Habari. Sijawahi kuona Bogus kama wewe. Tuachie jimbo letu tumpe Dr KITILA au mtu mwanachadema mwingine. Umeumbuka Loh!!!
  12. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Clouds fm alitumia milioni ngapi kwa matangazo yote? Halafu njoo kwenye gharama za maandalizi mengine. Hitimisha na ukumbi mil 2. Hata wanyiramba wamechoka. Dr KITILA anajichukulia jimbo kilaini.
  13. N

    Mahudhurio rasmi mkutano wa Mwigulu Nchemba jijini Dar es salaam

    Aibu mwigulu aibu, hii ni aibu ya mwaka. Aibu sana na pole sana. Mimi ni ccm lakini mambo yako yametuchosha. Sakata la Lwakatare umeidhalilisha sana chama, hushaurika. Masifa tu. Aibu yako mwenyewe.
  14. N

    Mbowe Aombe Radhi Kukubali Mwaliko wa Dhifa ya Obama; Inadhoofisha Harakati za Kuiondoa CCM

    Wewe ni kiongozi wa ccm tena ngazi kubwa, sasa mjadala wa chadema unakuhusu nini, kaa pembeni kama mimi. Jf BANA!!!!!
  15. N

    Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

    Ana maana ana rafiki yake ambaye ameajiriwa au mfanyakazi wa polisi (siyo kamanda/hajasomea upolis- ni raia) na anafanya kazi kitengo cha uhalifu(nurse, karani, mfagiaji, mhasibu nk) alimwambia story kama hiyo hiyo! Umeelewa?
  16. N

    Mauaji Ya RPC Mwanza, Barlow

    Point of correction kwa mujibu wa gazeti, Moja aligombea kupitia ccm na mwingine Chadema. Wote ni majambazi ila wa chadema hakushinda. alibwagwa. Kwa hiyo kiukweli kuna jambazi ambaye ni Diwani wa ccm. jambazi aliyegombea kupitia chadema alikuwa amejiunga na chadema ili agombee ili amsaidie...
  17. N

    CHADEMA Ihamasisshe wanachama na watz kutembea na vifaa vya kuchukua picture.Ni zaidi ya silaha

    Kwa hiyo wewe umefurahi mwanahalisi kurudi mtaani kwa jina la Mawio kila alhamisi siyo?
  18. N

    Dr. Slaa amuonya vikali Spika Anne Makinda

    Nasikia mwanahalisi imerudi mtaani kwa jina Mawio. Hiyo habari ileteni kwa upana, ili tuwalewe vizuri.
Back
Top Bottom