Search results

  1. CRISTA

    Askofu Bagonza acha kulichafua Kanisa la KKKT

    Hivi karibuni hapa Jamii Forum tumeshuhudia Tamko kutoka kwa Askofu Bagonza likimshutumu Aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT Dr.Fredrick Shoo. Kauli hii inasikitisha sana ikizingatiwa ni Kiongozi Mkubwa sana wa Kanisa la KKKT. Maswali ya muhimu kwako 1.Kwa Nini uliamua Kutoa Mambo ya KKKT...
  2. CRISTA

    Mmh !! Nimemaliza mtihani wa kwanza ila huu sasa !!

    Habarini !! Tayari nilifanikiwa kupata mke miaka miwili sasa na mtoto juu, ila Mke na Mama yangu hawaelewani kila cku maneno mke hamsikilizi mama kwa chochote ukifka kwa mama naye malalamiko, nilishawahi kumkanya Kidogo mke kuwa mvumilivu na Mama yangu lakini imeonekana kuwa ngumu, ingawa...
  3. CRISTA

    Mwanamke na kinyongo

    Habarini! Juzi nilikuwa niko na mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa sita. Katika kupiga stori nikawa namuonya juu ya jambo fulani.du mwanamke saa ngapi asianze kkumbushia eti mama yangu anamchukia cna hampendi ni kweli kipindi cha miaka miwili ya Nyumba mama alitaka kumkataa...
  4. CRISTA

    Wazazi hawataki nioe Mchaga

    Habari, Nina mchumba wangu ambaye nimepanga kwenda kujitambulisha kwao mwezi huu August lakini kwa sasa niko kwenye hali ngumu kwa kuwa wazee wangu wa huku Meru hawataki nioe Mchaga na wanasema ni bora ningeoa Mmeru kuliko Uchagani wakitoa sababu tofauti tofauti. Mchumba wangu huyu ni...
  5. CRISTA

    Anakosa kibali kwa walio wengi

    Wana jf; natumai ni wazima wa afya njema;nina mchumba (elimu ya chuo)ambaye tuna miaka takribani miwili sasa.ila toka nianze kuwa nae mara nyingi watu wangu wa karibu wa kike na wakiume huwa hawamkubali cna na hata nikimleta kwa watu kwa mara ya kwanza watu huwa hawamkubali labda wakae nae kwa...
  6. CRISTA

    Baba akanena haya

    Baba nae Anasema mwanangu oa mwanamke ambaye ni msomi hii ni kwa sababu wewe pia ni msomi, mwanangu angalia boma la kuoa sio maboma yote ya kuoa. Sikushauri ni kabila gani la kuoa ingawa ukishindwa ni bora uje nyumbani uangalie mwanamke wa kumuoa, mwanangu kuanglia familia (hali ya baba na mama...
  7. CRISTA

    Msaada

    Habari wana JF;nilikuwa nina mpenzi wangu ni mwaka sasa ambaye yeye amesomea community dev. na nimesomea ada.kipindi tunaanza mahusiano ndio alikuwa ametoka fresh from chuo na kupata kazi karibu na ninapofanyia kazi; Sasa cha ajabu toka tulipoanza uhusiano nilimsoma kuwa ni mtu kuuchukia chukia...
Back
Top Bottom