Search results

  1. K

    Maoni kwa star tv.

    Ningependa kipindi cha tuongee asubuhi kirushwe redioni (rfa) ili kutoa fursa kwa watu wengi zaidi kusikiliza na kuchangia.my take huwezi kutenganisha haki na amani kwenye jamii na katika tz yetu amani inahubiriwa wakati haki haipo sio rahisi jambo hili "haki kwanza amani itakuja yenyewe"
  2. K

    Faida ya bima ya afya kwa mwana chuo.

    Jama naomba kuelimishwa katika hiki kitu bima ya afya kwa wanachuo hususani faida zake kwa mwanafunzi kwa sababu mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ambacho ni cha serikali katika chuo hiki wanafunzi tunachangia 70000 za matibabu lakini hakuna utaratibu wa bima ya afya kama baadhi ya vyuo kwa...
  3. K

    Grand malt: Msaada katika After Effects

    Jama naomba ushauri kwan kwa muda sasa nimekuwa nikitumia hiki kinywaji lakini nnapo amka asbhi kichwa hwa kinak'wa kizito na mdomo k'wa mzito na kama michbko flani kwenye 'limi hlp pl'z je kina matatizo flani kwa wa2miaji?
Back
Top Bottom