Mkuu Buijbuji heshima kwako.
Mimi kwa mawazo yangu hii mada imekaa kifalsafa sana. Ni sawa na kuuliza Dhambi ni nini? Ni kitu gani hufanya tendo zuri likawa dhambi hata pale linapokuwa limeleta furaha kwa wahusika wote?
Ingalikuwa enzi zetu tuliopitia JKT mtu huibuki tu kuuliza kuelekezwa ktk kambi ya jeshi la nchi hii eti halafu watu wakaanza tu kukuelekeza kabla hawajakuuliza wewe nani na shida yako nini. Anyway, dunia ya leo teknolojia ime-advance sana kiasi kwamba next time huna sababu ya kuuliza humu...
Hivi unapofuatilia tunavyojadili masuala ya Maziwa Makuu ni kweli unatuona (wachangiaji wengi) ni watu wenye mawazo ya kuwa na uwezo wa kuchimba gesi au mafuta? Jamii ya watu tuliozowea na kupenda kutumia(spending) tu na si kuwekeza (investing) wala kutafuta (searching), huoni tunashabikia...
Hivi kweli mwandishi makini na mhariri makini wanaweza kupitisha habari kama hii tena ukurasa wa mbele wa gazeti linalotakiwa kuwa makini? Au ndo mchezo ule ule ambao matokeo yake kila anayefiriki sawasawa anayajua?
.......
Heshima sana kwako Baluhya kwa mawazo yako ya busara. Tumekuwa jamii ya watu wa ajabu sana na wa kuonewa huruma. Ila ukweli ni kwamba no society can manage to stay afloat for long in defiance of the weight of its own stupidity.
M-H
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa miaka kadhaa lakini nimeamua kujiunga leo. Nimeona ni utamaduni mzuri kusalimia kwanza kabla sijachangia jambo lolote. Nawatakia siku njema.
MD
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.