Salaam wanajamii

Mawazo-Hai

Member
Jul 31, 2012
13
5
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa miaka kadhaa lakini nimeamua kujiunga leo. Nimeona ni utamaduni mzuri kusalimia kwanza kabla sijachangia jambo lolote. Nawatakia siku njema.

MD
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa JF kwa miaka kadhaa lakini nimeamua kujiunga leo. Nimeona ni utamaduni mzuri kusalimia kwanza kabla sijachangia jambo lolote. Nawatakia siku njema.

MD

Karibu, mimi ndio kasisi humu. Kwanza utubu dhambi zako zote, ujitakase kifkra, uwe na amani, kisha anza kuchangia mambo........
 
Karibu kaka mie pia nilikuwa nafatilia tu habari na hoja mbalimbali nikaona kuna umuhimu wa kujiunga na sasa nimeanza kuwa mzoefu. Warmly welcome
 
Karibu kiongozi ! Bt itakulazimu umtafute mtu mmoja hapa wanamwita Kongosho, ndy atakuonyesha chochoro zote za humu.
 
Karibu sana. Ila inakubidi uwe great thinker usiwe great tanker. Anyway karibu jamvini mwanakwetu.
 
Jina lako la ukweli ukweli unaitwa nani? mie ndio natoa vitambulisho vya Taifa vya JF
 
Back
Top Bottom