Search results

  1. Typical

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Sahihi Breaking bad pia ipo safi sana
  2. Typical

    Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Ingia "Pinterest"
  3. Typical

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Shule za enzi watu walikuwa wanaandalia proper kuja kupambana na changamoto
  4. Typical

    Tazama jinsi Biashara ya pombe ina hela sana

    Kwanini box za bonus ziuzwe 45k Na box 500 ulizonunua uziuze 48k Nilidhani zote utauza bei moja for 48k
  5. Typical

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Also kuongezea point zako, dunia ingekuwa flattery satellite zilizorushwa angani, zingekuwa stationary at only place. Maana lengo la sattelite ni ziwe zina point at one particular point. Kungekuwa hakuna haja ya kuzi design ziwe zinazunguka angali sawa na rotation ya dunia kwa ajili ya...
  6. Typical

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kilicho chako hakipotei, mercy hukupangiwa kuwa na wewe. Ulikuwa unalazimisha tu. Na dokta katumika kama catalyst tu ya kukuonyesha mercy ni mtu wa aina gani. Mercy angekuwa hamtaki dokta,angemla block mapema tu. Umekaa na mwanamke miaka mitatu hajabeba mimba, ila kaenda kwa mwingine miezi...
  7. Typical

    Huyu ndugu yangu alinidharau nimemsamehe bila kumwambia ila kwenda kwake naona hata uvivu

    We ndo mwenye shida. Unafanya "assumptions" nyingi sana.
  8. Typical

    Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

    Sasa kumjua Lowasa inahusikaje na mambo ya bikra yake
  9. Typical

    Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

    Kama mume yupo humu JF, na akaona huu uzi, anaweza kupata pa kutokea. Kesi inageuzwa hii kinamna namna ...
  10. Typical

    Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Google Ramani zipo nyingi sana online
  11. Typical

    Safari yangu "Kitchanga" mji uliotekwa M23

    Weka jina lake, gari za mizigo zinatekwa sana huko
  12. Typical

    Waagizaji sukari nje wanadanganya bei ya manunuzi. Serikali iwe makini

    Ingia chimbo ujue kodi zote na gharama zote za sukari mpaka inamfikia mteja.
  13. Typical

    Je, unaweza kutoboa kimaisha (biashara) nje ya miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma?

    Zinaweza kuwa zinajirudia Ila ili biashara ikulipe inategemeana na sehemu ulipo, na kitu gani kinapatikanika na kipi hakipatikaniki, kisha unacheza na gap. Ukiwa Tunduma kuna biashara zake Ukiwa maeneo ya migodi kuna biashara zake Ukiwa znz kuna biashara zake The same for Tanga, Arusha,Mwanza
  14. Typical

    Msaada wa utaratibu wa kusajiliwa kama Insurance Broker

    Tafuta kampuni moja ya bima, wasiliana nao watakupa utaratibu wa uwe na nini na nini ili uwe broker wao
Back
Top Bottom