Kuna vyumba viwili vinapangishwa (Chumba na Sebule & Chumba na Sebule) bt sio master bedroom bei ni sh 80,000/= na Sh 100,000/= kwa mwezi but inatakiwa kodi ya mwaka mzima, Umeme ni Luku na nyumba luku meter haina deni. Vyumba vipo Magomeni Mikumi mtaa wa Manda Jijini Dsm. Kwa mawasiliano zaidi...
Kuna vyumba viwili vinapangishwa (Chumba na Sebule & Chumba na Sebule) bt sio master bedroom bei ni sh 80,000/= na Sh 100,000/= kwa mwezi bt inatakiwa kodi ya mwaka mzima,Umeme ni Luku na nyumba luku meter haina deni.Vyumba vipo Magomeni Mikumi mtaa wa Manda Jijini Dsm.Kwa mawasiliano zaidi...
Habari wa ndungu kama kuna mtu ana Selcom Machine na haitumii naomba aniuzie mimi cherger yake au kama mtu anacherger ya Selcom Machine naomba tuwasiliane ili aniuzie.
Kama unaishi Dar es salaam,panda bus shuka kituo cha sanyansi then fuata barabara ya kwenda kijitonyama/police mabatini utakiona kibao chao kipo mkono wako wa kushoto kwako
Natafuta dada kwaajili ya kazi ya kuuza vipodozi,Duka lipo maeneo ya Manzese so nikipata dada anayeishi maeneo ya Magomeni,Usalama,Mwembechai,Kagera,Manzese,Tiptop na Mabibo itakuwa poa coz duka linafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa mbili usiku.Kwa maelezo zaidi Tuma sms kwenye simu no...
Habari wandungu,nashida na lize zinazotoa huduma ya Tigorusha,Airtel rusha,voda rusha na zantel mimina,naomba mnifahamishe ni njinsi gani naweza zipata?
Thanks.
This is Baba T,
Natafuta Binti anayekaa maeneo ya Magomeni, Mwembechai, Kagera, manzese au Magomeni Usalama kwa ajili ya kuniuzia duka la vipodozi. Awe mwaminifu, mchangamfu, mchapa kazi, atakuwa anafungua duka saa mbili asubuhi hadi saa mbili usiku.
Kwa mawasiliano zaidi ni 0782444310 au email ni...
Wandugu nahitaji kijana wa kike au wa kiume kwa ajili ya kuniuzia duka la vocha na tigo pesa,ila after nitaweka na Mpesa,airtel money,vocha za jumla,max malipo,tigo rusha na vinginevyo.Mshahara ni maelewano,uka lipo maeneo ya Mgomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa kupitia fihavangoa@yahoo.com
Wanajamii nahitaji mtu wa kuniuzia duka langu la vocha za simu + tigo pesa,duka ni jipya ila natarajia baadae niweke na Mpesa,Airtel Money,Tigo rusha,vocha za jumla,Max malipo na vinginevyo,kuhusu malipo ni makubaliano,duka lipo maeneo ya Magomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa email ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.