Kijana wakiume/wakike anaitajika kuanzia trh 1/08/2012

Jul 26, 2012
16
4
Wanajamii nahitaji mtu wa kuniuzia duka langu la vocha za simu + tigo pesa,duka ni jipya ila natarajia baadae niweke na Mpesa,Airtel Money,Tigo rusha,vocha za jumla,Max malipo na vinginevyo,kuhusu malipo ni makubaliano,duka lipo maeneo ya Magomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa email ya fihavangoa@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom