Search results

  1. M

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Nini kimebaki kuwa cha kweli mpaka sasa? Usiamini mwanasiasa anayetaka kuwaongoza watu kwa lazima hata kama wamemchoka hahahaha. wanambinu zaidi ya ujuavyo....
  2. M

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Naona mradi wa tablets unalipa sasa.Maana kila mtu yupo upande wa tablets hahahaha....
  3. M

    CV ya Prof. Sospeter Muhongo na ushawishi wake kwa wanasayansi, wahandisi na wanasiasa vijana

    Si lazima uwe na akili inayozungumzwa hapo kwenye CV.... KUONGOZA NI KIPAWA, Nyerere PhD yake alisomea wapi? Nyerere alikwa ni Professor wa nini? Acheni siasa. Huyu alitakiwa kuwa mtaalum tu na kuishauri sherikali juu ya mambo ya madini na gesi.
  4. M

    Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Kumbe huu ndo mwandiko wa Mwigulu? Watu wanajua sana kuzusha....
  5. M

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Wabongo wachonganishi sana. Mbona haya majina hayafanani na yakwenye magazeti?
  6. M

    Gen. Kagame: “ Its a matter of time”

    Akiangalia search history akakuta umeandika kagame the killer anakukil naw ewe iLife uone kweli yeye ni kila.
  7. M

    Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Hata mi nimejiuliza imekuwaje tena?
  8. M

    Walimu wa katibu mkuu wizara ya elimu ni manyanyaso tu.

    Pole sana Mwalimu wangu. Kwa hapa ulipoweka hii watakauwa wameona wala usiwe na shaka hela itasoma mda si mrefu.
  9. M

    CHADEMA isipomvua Zitto uanachama...!

    Vyama vingine bwana! Eti Zito Kabwe nae anaogopwa na Chama na wanachama zaidi ya million 5? Eti Zito nae anataka kuwa Rais wa Tz? Eti Zito nae anataka awe maarufu kuzidi CDM? Kati ya mambo ambayo Mwl JKN hakuyapenda ni hayo na akikugundua ndo ulivo anakutoa haraka Sana chamani. TOA ZITO NI...
  10. M

    Kwa nini tunaamini wanasiasa

    Tulia kwanza sindano ndio Tina sahihiii na bora kabisa. Wanasiasa wanatupiga sindano za moto tusiwe na wasi tutapona tu.
  11. M

    Kwetu ni Butiama: Naomba Kuuliza Swali Ndugu zangu.

    Kwa lugha yetu sisi hilo ni tusi mjomba.
  12. M

    Mengi (WATANZANIA) Vs Prof. Muhongo (WAWEKEZAJI)

    Ninamashaka Sana na taarifa. Baba aliniambiaga hivi.....ukitaka kuamini wa hata Kwenye jambo la UONGO ambalo unajua watu hawataka kuwa na data za kweli kwa mda Hugo....BASI ONGEA KWA KUJIAMINI SANA NAO WATAKUAMINI TU KWA UONGO WAKO.
  13. M

    Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

    Hata nembo za taifa Kama zinafanana vile embu chekini upya na Hilo.
  14. M

    Ting decoder packages

    Biashara HURIA. Hata hivyo * TIMES walikiuka mkataba.walitakiwa kuonyesha channel hizo kwa muda na baadae kuanza kulipia kwa kuwa wao wanapata faida na wakapuuza makubaliano hayo.
  15. M

    SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    Sijaelewa,mtoa mada anataka nini? Kazi ipo kweli,hivi na wewe mda si mrefu utakuwa graduate?
  16. M

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Kuna ukweli asilimia nyingi sana kwenye hichi ulichoandika. Nimeambiwa,kuna wajerumani ambao wameanza kutafuta sanduku lenye rupia kwenye baadhi ya mito kwenye milima ya Uluguru. Inasadikiwa hutumia ramani flani kuweza kutambua eneo hilo lililowekwa hilo sanduku lililosheheni rupia na vitu vya...
Back
Top Bottom