Search results

  1. waukae

    Upigwaji marufuku wa mini skirt na suruali kwa wanawake St Agustine niupongeze

    duuh sasa inabidi wachane waleti waingie madukani kununua hijabu...
  2. waukae

    Vodacom sucks

    inawezekana kuna software ambayo iko kwenye pc yako ina update automatical, hebu angalia ant virus yako au kama umeweka i tunes na nyenginezo.....
  3. waukae

    FFU-Iitwe kikosi cha kutuliza Demokrasia (KKD)

    Kikosi cha kugandamiza demokrasia
  4. waukae

    TTCL na huduma ya internet

    mie ya kwangu net iko poa ila simu haifanyi kazi mwaka na nusu sasa nisharipoti weeee mpaka nimechoka juzi nimeenda mwenyewe pale plaza na wakampigia simu fundi mbele yangu na wakampa na namba zangu kama atapotea, hivi ninavyo sema nina wiki naendelea kumvumilia labda ana kazi nyingi sana
  5. waukae

    Who is the Best Provider

    modereta uko sahihi kabisa web zao kama mfano tigo haina lolote jipya tangu iwekwe!!
  6. waukae

    Mauaji ya Watanzania Afrika Kusini

    vijana wa kitanzania waliopo south afrika hali zao zinasikitisha sana wana jf juzi nilipigiwa simu na mmoja wao akiwakilisha wenzie 51 alinambia kwamba maisha ya kule yamewashinda na walikuwa wako uwanja wa ndege wa johernesberg walipopelekwa na maofisa wa ubalozi wa tanzania ili kurudishwa...
Back
Top Bottom