Mungu wangu mimi kama mwana mazingira article hii imekuja muda muafaka natafuta lugha rahisi ili kuweka minofu kwenye hii article hila watanzania tutalia na kusaga meno pindi huu uchimbaji utakapoanza kwani uenda sisi tusipate madhara tajwa hapo juu bali wajukuu zetu watatulaani milele kwa...
Wanajamvi vp? naomba msaada kuna kazi zimetangazwa ila moja kati ya viambatanisho ni hii relevant writing sample na kwa kweli sina uhakika kama nimeilewa vizuri hivyo naomba ufafanuzi kwa anayejua ili niweze kusotea hiyo kazi.
God Bless.
wanajamvi tunaomba msaada. Kuna jamaa yangu anahisi kudhurumiwa kwani aliingia mkataba na kampuni fulani ya utafiti akapewa mkataba wa miezi sita akawaanalipwa mshahara na posho ya kuwa nje ya kituo maana kazi ilikuwa ya utafiti. Mshahara wake pia alikuwa akikatwa Nssf na mkataba ulipoisha...
Hello wandugu ninaomba msaada wa kunijuza zilipo sehemu hizi. Ningependa anayejua wapi zilipo hizi BMU's ( Beach Management Units) au watu wengine huziita Landing Site. Sehemu hizi zipo ziwa victoria nachotakakujua ni je zipo visiwani au pembezoni mwa ziwa?Sehemu hizo ni kwa upande wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.